Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 175
Eti kuna mzee mwenzangu anasema kama hujaenda uvinza, mke/demu/kicheche wako hawezi kuamini kama unampenda kweli! Duu! wana JF mnasemaje?
sounds nasty kwa ulivyoi-present.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti kuna mzee mwenzangu anasema kama hujaenda uvinza, mke/demu/kicheche wako hawezi kuamini kama unampenda kweli! Duu! wana JF mnasemaje?
Wapendwa naomba kukopi swali langu hapa (japo nime edit kidogo) ambalo niliuliza kwenye post ya Mr Chabo maana topic zinafanana. Am sorry kama nitadistract mjadala.
Originally Posted by Mr Chabo![]()
![]()
1 Nimeachana na wapenzi wawili. Moja alifahamu uhusiano wangu na huyo ndingi, wapili alikuta chembe chembe za big haja kwa kufuli yangu
Jamani mie nimekuwa najiuliza siku nyingi lakini sikuwa na ujasiri wa kumwuliza mtu lakini pengine leo ndio naweza kusema naanza kupata majibu unless niambiwe sivyo.
Nimekuwa najiuliza "Wenye kupenda kuzama kwenye tiGo wanatumia kondomu"????
Kama wanatumia how does it work maana kule hakuko na vilainisho kama ilivyo sehemu sahihi ya kufanyia tendo la ndoa na wataalam wanatuambia usiivae (kondomu) ndani/nje wala kuongeza/kuipaka mafuta.
Kama nakosea nielewesheni jamani!!!!!
Sasa kama Mr Chabo kabambwa na chembe kwenye kufuli inamaana huwa anazama bila kinga.
Ninachoogopa hapa si tu tabia yake ya kwenda mlango wa nyuma bali hatari ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Angalia mkuu si kila mashine ya kuzama uvinza unaweza babuka mdomo
Angalia mkuu si kila mashine ya kuzama uvinza unaweza babuka mdomo
Kwa mkeo unaweza kwenda chumvini kama yeye anapenda uwe unamfanyia hivyo kwani mtakuwa wasafi,ila kwa demu au kicheche si jambo jema maana huwezi jua anatoka na nani au katoka kufanya nini huko alikotoka kaja kwako unaishia kuzama uvinza eti ndio kumuonesha unampenda,matokeo yake unajikuta unapata magonjwa ya ajabu hasa fungus.
Unaweza kumuonesha mwanamke kuwa unampenda bila ya kwenda chumvini.
Uvinza ni wapi?
Mlango wa nyuma kaka! watu wanaenda ng'adu!
wewe speaker ndiyo unaanza uchochezi! Poole sana kwa kuelewa vibaya thread hii! Sina lengo hilo unalosema hata kidogo
]kicheche nae unamwendea[/COLOR] uvinza...enhh we chibkooooo
POST YAKO INA MANTK LAKIN UNGEBADIRI LUGHA ..INGEPENDEZA..
inasaund ina udhadhalilishaji...
we all know that TIGO ni dhambi na vitabu vyote vya dini vimekataza,na wala siwezi kuandika na kuishabikia TIGO na nina laani kwa kila anayefanya.
ila maswala ya kwenda chumvini hakuna aliyekataza, si quran wala biblia,maana kuna wengine watakuja kusema hapa hata kuishika dhambi, ndio nyie mnaobaka wakezenu bila ya kuwaanda.
ndio maana ya maendeleo, sio kwenye technology tu,hata kwenye mapenzi, ndio maana watu wametoka kwenye kifo cha mende mpaka kwenye chura kiwete.
mwambie huyo mwenzako ampe raha mkewe as long as ioshwe itakate.
Iko jamaa analalamika wife wake anataka alambe tunda- 'oral'.
Nimemwambia hiyo kitu ni dhambi mkuu, uumbaji wa Mungu hauruhusu hayo mambo. Na pia kuna magonjwa, unaweza kupata fangas ya mdomo..
Lakini anasema wife wake alalamike mbona yeye alamba koni bila tatizo?
Duh hebu tumpe huyu jamaa shule na wengine wenye tabia ya kuharibu mipango ya Mungu.
Bwana eh hata kama ni usawa wa kijinsia unaopigiwa kelele, ile mophology ya k and the contents plus the surrounding yahitaji ushujaa kweli kweli kuisogezea mdomo wako. Wanawake hebu kubalini ukweli wakati fulani na si kuimba usawa tuuu kwa kila kitu, kuleni mic mkipenda(ni kama kidole tu hicho) ila si vizuri jamaa amwagie zile kitu mdomoni.
Msimamo wangu, ninachezea k kwa namna mbalimbali lakini siji shusha mdomo wangu kule kwenye k, kama ni demu/mke kuniacha na aniache, kama ni kotoka nje ya ndoa na atoke tu.
Madhara yake baada ya virus kutoka ukeni na kwenda mdomoni kunauwezekano mkubwa kupata kansa ya koo!
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
kwei duniani tunatofautiana ..mimi nisipoenda kule ni kama kipepe kusahau rungu lake .. Au ni kama makamba bila nundu usoni
wewe jamaa naomba niwe jirani yako mtaani .leh!