Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

mambo wanayofanya wanadamu wa sasa hata enzi za sodoma hayakuwepo laana ya kizaz hiki na hukumu yake sijui tutapumulia wapi,mara chumvin dah! Watu wakaona haitoshi wakaamua kunyonya hadi kinyeo.huu upuuzi na ujinga wa kuiga utatupeleka pabaya.binadamu tutubu na tuache dhambi.haya mambo hayampendez Mungu.alikupa mdomo kwa ajili ya kula na kunywa pamoja na kuongea'si kunyonyea visivyonyonywa.acha haraka sana hiyo tabia
 
Jehanam inakungoja usipotubu kwa Mungu,tubu leo
Salaam wana Jf.Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na kila nikifanya nae mapenzi huwa naingia chumvini (namnyonya 0) tendo hilo nimelifanya kwa muda mrefu kiasi kwamba kwa sasa limeniingia yani nimekwa addicted.Nilikua nikifanya hvyo ili kumpa raha zaidi mpenz wangu huyo na kweli alikua akifurahia na kuridhika haswaaa.Kwa sasa mpenz wangu hayupo amesharudi kwao Botswana na wazaz wake.Tatizo ni kwamba ameniacha na hali ambayo nashindwa kuielewa yani kuna wakati nakua naihisi ile ladha mdomoni.Na hali hii inapokuja nakua na hamu ya hali ya juu ya kupata hiyo kitu ninyonye.Kuna rafiki kanishauri nitafute msichana msagaji (lesbian) kwa madai kuwa wanapenda huo mchezo.Sijui nifanyeje na hii hali ya kuhisi ladha ya hii kitu mdomoni bado inajitokeza mara kwa mara.Swali. Je naweza kupata madhara gani mengine zaidi ya haya ya kuhisi tu ladha mdomoni?.
 
hivi addiction si inaua?huyu jamaa namuone huruma,sijui atashindaje hilo pepo.
 
mambo wanayofanya wanadamu wa sasa hata enzi za sodoma hayakuwepo laana ya kizaz hiki na hukumu yake sijui tutapumulia wapi,mara chumvin dah! Watu wakaona haitoshi wakaamua kunyonya hadi kinyeo.huu upuuzi na ujinga wa kuiga utatupeleka pabaya.binadamu tutubu na tuache dhambi.haya mambo hayampendez Mungu.alikupa mdomo kwa ajili ya kula na kunywa pamoja na kuongea'si kunyonyea visivyonyonywa.acha haraka sana hiyo tabia

Mambo yanayofanyika sasa ni zaidi ya sodoma na gomola,likumbuke taifa letu na kizazi chetu katika maombi ili MUNGU atuepushe na majanga yaliyopo mbele yetu.
 
Pole sana, nakushauri uoe ili hiyo raha umpe mkeo. Kuhusu madhara ni fangasi hivyo inahitajika hiyo () iwe saafi kabla ya kuzamiwa chumvini sio unavamia tu utakosa mdomo shauri yako.
kaka kuoa kwa sasa bado, halafu huyu demu wangu alikua msafi sana ndio maana kwa sasa nasita kwenda kwa wengine kwa kuhofia hilo.
 
mkuu canser si mpaka demu awe mchafu?huyu wangu alikua saaafi kabisa. Nataka kuacha but nashindwa kaka nimeshazoea kunyonya ( )

Nani kakudanganya wewe kijana?

Epstein–Barr virus (EBV) ambao hujulikama kama human herpesvirus 4 makazi yao ni Ukeni. Wewe endelea kunyonya upate cancer, hasa aina ya Burkitt's lymphoma, nasopharyngeal carcinoma, ama central nervous system lymphomas. Usije Laumu hukupewa taadhali. You have been warned stop that
 
Nani kakudanganya wewe kijana?Epstein–Barr virus (EBV) ambao hujulikama kama human herpesvirus 4 makazi yao ni Ukeni. Wewe endelea kunyonya upate cancer, hasa aina ya Burkitt's lymphoma, nasopharyngeal carcinoma, ama central nervous system lymphomas. Usije Laumu hukupewa taadhali. You have been warned stop that
Dah rev. Masa unaniogopesha mkuu, ila mbna kuwa watu wanalama chumvini na hawapati cancer? Ni % ngapi ya uwezekano wa kuathirika?mm nime experience for 6 years kwa demu mmoja tu bt kwa sasa karudi nchini kwao.
 
hivi addiction si inaua?huyu jamaa namuone huruma,sijui atashindaje hilo pepo.
mkua sio pepo ni tabia tu mkuu nimeizoea mno mkuu na kuichana ndio tabu yani mpaka nashindwa kujua maisha yangu yatakuaje mm.
 
Dah rev. Masa unaniogopesha mkuu, ila mbna kuwa watu wanalama chumvini na hawapati cancer? Ni % ngapi ya uwezekano wa kuathirika?mm nime experience for 6 years kwa demu mmoja tu bt kwa sasa karudi nchini kwao.

Kwa vile kuna gestation period kabla hujaona madhara yake; kwa sasa unaweza kudhani mambo poa, ngojea yakufumukie ndio utakumbuka na kutofautisha junvi na sukari!!
 
janaa anashauriwa hataki....kuacha lol
mkuu sio kama ctaki mkuu, nataka sana kuacha mkuu lakin nitaanzaje?mpaka hapa ninavyoandika tayari nahisi ladha ya ile kitu mdomoni! Yani tabu sana mkuu
 
Mlipima kwanza? Unajua HIV/AIDS rate ya Botswana ?
Mkuu swali zuri, asante. Nimepima nae mara nyingi mno, kwa mwaka tunapima mara 3 na nimedumu nae kwa miaka 6 so nadhan unapata jibu hapo 3x6=24, najali sana afya yangu mkuu ndo maana nasita kutafuta hao lesbians.
 
Sasa mtu umeomba ushauri umepewa na madhara umeambiwa unataka nn tena?Labda ukitaka ku do ita m2 awe anakusimamia hakuna kuzama chumvini au weka alarm iwe inakukumbusha
 
Sasa mtu umeomba ushauri umepewa na madhara umeambiwa unataka nn tena?Labda ukitaka ku do ita m2 awe anakusimamia hakuna kuzama chumvini au weka alarm iwe inakukumbusha
asante mkuu najaribu kufuata ushauri, najua ni ngumu kuacha mana nilishazoea kupata huo mnuso.
 
Back
Top Bottom