Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Sasa kama hamu yako ni chumvini si uchukue kopo la chumvi ulilambe mpaka hamu yako iishe,
Khaa..hii kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hamu yako ni chumvini si uchukue kopo la chumvi ulilambe mpaka hamu yako iishe,
Salaam wana Jf.Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na kila nikifanya nae mapenzi huwa naingia chumvini (namnyonya 0) tendo hilo nimelifanya kwa muda mrefu kiasi kwamba kwa sasa limeniingia yani nimekwa addicted.Nilikua nikifanya hvyo ili kumpa raha zaidi mpenz wangu huyo na kweli alikua akifurahia na kuridhika haswaaa.Kwa sasa mpenz wangu hayupo amesharudi kwao Botswana na wazaz wake.Tatizo ni kwamba ameniacha na hali ambayo nashindwa kuielewa yani kuna wakati nakua naihisi ile ladha mdomoni.Na hali hii inapokuja nakua na hamu ya hali ya juu ya kupata hiyo kitu ninyonye.Kuna rafiki kanishauri nitafute msichana msagaji (lesbian) kwa madai kuwa wanapenda huo mchezo.Sijui nifanyeje na hii hali ya kuhisi ladha ya hii kitu mdomoni bado inajitokeza mara kwa mara.Swali. Je naweza kupata madhara gani mengine zaidi ya haya ya kuhisi tu ladha mdomoni?.
mambo wanayofanya wanadamu wa sasa hata enzi za sodoma hayakuwepo laana ya kizaz hiki na hukumu yake sijui tutapumulia wapi,mara chumvin dah! Watu wakaona haitoshi wakaamua kunyonya hadi kinyeo.huu upuuzi na ujinga wa kuiga utatupeleka pabaya.binadamu tutubu na tuache dhambi.haya mambo hayampendez Mungu.alikupa mdomo kwa ajili ya kula na kunywa pamoja na kuongea'si kunyonyea visivyonyonywa.acha haraka sana hiyo tabia
kaka kuoa kwa sasa bado, halafu huyu demu wangu alikua msafi sana ndio maana kwa sasa nasita kwenda kwa wengine kwa kuhofia hilo.Pole sana, nakushauri uoe ili hiyo raha umpe mkeo. Kuhusu madhara ni fangasi hivyo inahitajika hiyo () iwe saafi kabla ya kuzamiwa chumvini sio unavamia tu utakosa mdomo shauri yako.
mkuu canser si mpaka demu awe mchafu?huyu wangu alikua saaafi kabisa. Nataka kuacha but nashindwa kaka nimeshazoea kunyonya ( )Cancer ya Koo inakunyemelea
mkuu canser si mpaka demu awe mchafu?huyu wangu alikua saaafi kabisa. Nataka kuacha but nashindwa kaka nimeshazoea kunyonya ( )
Dah rev. Masa unaniogopesha mkuu, ila mbna kuwa watu wanalama chumvini na hawapati cancer? Ni % ngapi ya uwezekano wa kuathirika?mm nime experience for 6 years kwa demu mmoja tu bt kwa sasa karudi nchini kwao.Nani kakudanganya wewe kijana?Epstein–Barr virus (EBV) ambao hujulikama kama human herpesvirus 4 makazi yao ni Ukeni. Wewe endelea kunyonya upate cancer, hasa aina ya Burkitt's lymphoma, nasopharyngeal carcinoma, ama central nervous system lymphomas. Usije Laumu hukupewa taadhali. You have been warned stop that
mkua sio pepo ni tabia tu mkuu nimeizoea mno mkuu na kuichana ndio tabu yani mpaka nashindwa kujua maisha yangu yatakuaje mm.hivi addiction si inaua?huyu jamaa namuone huruma,sijui atashindaje hilo pepo.
Mkuu huyu mm nilipima nae mara nyingi mno so alikua mzima kabisa thus y sikuoa tabu kunyonya ile kitu.Na kama alitoka botswana keshakuachia ngoma
Dah rev. Masa unaniogopesha mkuu, ila mbna kuwa watu wanalama chumvini na hawapati cancer? Ni % ngapi ya uwezekano wa kuathirika?mm nime experience for 6 years kwa demu mmoja tu bt kwa sasa karudi nchini kwao.
Mlipima kwanza? Unajua HIV/AIDS rate ya Botswana ?
mkuu sio kama ctaki mkuu, nataka sana kuacha mkuu lakin nitaanzaje?mpaka hapa ninavyoandika tayari nahisi ladha ya ile kitu mdomoni! Yani tabu sana mkuujanaa anashauriwa hataki....kuacha lol
Mkuu swali zuri, asante. Nimepima nae mara nyingi mno, kwa mwaka tunapima mara 3 na nimedumu nae kwa miaka 6 so nadhan unapata jibu hapo 3x6=24, najali sana afya yangu mkuu ndo maana nasita kutafuta hao lesbians.Mlipima kwanza? Unajua HIV/AIDS rate ya Botswana ?
asante mkuu najaribu kufuata ushauri, najua ni ngumu kuacha mana nilishazoea kupata huo mnuso.Sasa mtu umeomba ushauri umepewa na madhara umeambiwa unataka nn tena?Labda ukitaka ku do ita m2 awe anakusimamia hakuna kuzama chumvini au weka alarm iwe inakukumbusha