Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Habari zenu wapendwa.mwenzenu nlijiona ngangali kinoumer, nikajidai na mimi kuingia chumvini weee!!. Nimeambulia kupata mafua hata sijui ni mafua ya aina gani. Nilikua nasikia chumvini kuna mafua nabisha. Duh! ile kitu ni noumer coz usiku pua zinapumua kwa zamu, kama moja inapumua nyingine inaziba. nmekoma na sirudii tena.duh!!.Mia
Aiseee, this issue is very serious;