PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanabodi

Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa.

My Take,
Natoa wito kwa serikali yetu,tuko kwenye zama za kidigiti,the world of information power, zamani kupata information ilikuwa hisani,lakini sasa information ni haki,the right to information, baada ya nchi yetu kupitisha sheria ya haki ya kupata habari,kitendo cha kuzima internet,ni ukiukwaji mkubwa wa haki habari kwa Watanzania,nchi yetu tuna bahati tuna wanasheria wazalendo wa uzalendo ukondoo,serikali inafanya madudu,haishitakiwi,kwa kukiuka haki za binaadamu na kusababishia watu hasara, tunakwenda kwenye mtangamano wa nchi za Africa Mashariki,ambao una free labor migratation,wanasheria wasio makondoo,tukiendelea kufanya ujinga kama huu,serikali itashitakiwa na kulipishwa mabilioni ya fidia!

Na kwa vile tunazuiwa kutumia VPN,hata serikali,msiendelee kutumia mitandao inayohitaji VPN!

Jambo baya kama hili naomba lisijirudie,mimi kwa upande wangu situmii VPN, natumia Samsung S.23 ultra,connectivity yake ni direct to sattelite

Paskali.
Ngoja nikuulize tu swali la uelewa.

JF ilifungiwa kidhuluma , tarehe 6 September na kuambiwa ingefunguliwa December 6 , 2025 .

Wewe kama wakili umetoa maoni gani kuhusu uvunjifu huu wa sheria na wewe unatumia VPN kuvunja sheria pia.

Unaiteteaje serikali haramu ambayo inaziba mdomo kila anayeipinga?
karibu
P
 
Wanabodi

Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa.

Hii ni taarifa ya taasisi ya Paradigm Initiative (PIN)

Taarifa kwa vyombo vya habari: Gharama ya Kuzima Mtandao wa Tanzania na Kusimamishwa kwa X Inayoendelea Gharama Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 238, Mpango wa Paradigm waonya

Dar es Salaam, 5 Novemba 2025: Paradigm Initiative (PIN) bado ina wasiwasi na kukatika kwa mtandao wa Tanzania katika kipindi cha uchaguzi, kuendelea kusimamishwa kwa X (zamani Twitter), na msongamano unaoendelea wa bandwidth kuripotiwa katika sehemu za nchi hata baada ya muunganisho wa jumla kurejeshwa tarehe 3 Novemba.

Usumbufu huu ni mbaya kiuchumi na unaharibu sana haki za kidijitali. Ukaidi huu wa wazi unakuja dhidi ya wito wa Net Rights Coalion na Tume ya Afrika ya Haki za Kibinadamu na Watu wa kuacha kuzima mtandao, kwa kuwa hii ni dharau kwa uhuru wa kujieleza na kupata habari kwa mujibu wa vifungu vya 9 na 19 vya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu na Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa, mtawalia.

Zaidi ya hayo, kuna hasara ya kweli ya kiuchumi inayotokana na kuzimwa kwa intaneti, jambo ambalo linakiuka haki ya maendeleo iliyojikita katika Ibara ya 22 ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu, ambayo Tanzania ni nchi mwanachama. Kuzimwa kwa mtandao wakati wa uchaguzi kulikuja wakati serikali ya Tanzania ilisitisha upatikanaji wa X tangu tarehe 21 Mei 2025. Kwa mujibu wa NetBlocks Cost of Shutdown Tool (COST), matukio hayo mawili yamegharimu uchumi wa Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 238 (Tsh bilioni 560) katika hasara ya moja kwa moja ya uzalishaji, biashara na huduma za kidijitali.

Kuzimwa kwa intaneti nchini kote, kulianza tarehe 29 Oktoba hadi 3 Novemba 2025, kwa muda wa siku 5 na saa 6 (saa 126), kunamaanisha hasara ya angalau dola za Marekani 72,333,826 (TZS 170.27 bilioni), ambayo ni takriban dola za Marekani milioni 13.8 (TZS 32 bilioni) kwa siku.

Kusimamishwa kwa X, ambayo imeanza kutumika tangu tarehe 21 Mei 2025 (siku 166 na kuhesabika), inamaanisha hasara ya Dola za Marekani 165,817,059 (TZS 390.33 bilioni) ambayo ni karibu Dola za Marekani milioni 1 (TZS 2.3 bilioni) kwa siku.

Hasara ya pamoja ya kiuchumi ina maana ya zaidi ya dola za Marekani milioni 238 (TZS 560 bilioni) katika hasara ya moja kwa moja kwa uzalishaji, biashara na huduma za kidijitali.

Hasara nyingine ni pamoja na kijamii na kisiasa, usalama, taarifa za masoko nyeusi, kurudi nyuma kwa afya, uchumi usio rasmi (malipo ya simu, nk), na zaidi.

Muundo wa COST wa NetBlocks, ambao unatumia data kutoka Benki ya Dunia, ITU, na Eurostat, hutumia mbinu ya Taasisi ya Brookings kutathmini madhara ya moja kwa moja ya kiuchumi ya kuzimwa na kuzuiwa kwa majukwaa. Chombo hiki kinatambulika duniani kote kwa kutoa makadirio ya kihafidhina, yenye msingi wa ushahidi yanayotumiwa na serikali, Umoja wa Mataifa, na watafiti wa jumuiya za kiraia.

"Kila kuzima huacha uaminifu, uwekezaji, na uwezo wa kibinadamu," alisema 'Gbenga Sesan, Mkurugenzi Mtendaji wa Paradigm Initiative. "Serikali lazima zitambue kwamba katika ulimwengu wa sasa, muunganisho ndio msingi wa fursa. Kuzima mtandao kunanyamazisha raia, kudhoofisha uchumi, na kurejesha mataifa yote nyuma."

PIN pia inaikumbusha serikali ya Tanzania kuhusu Azimio namba 580 la Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Haki za Watu kuhusu Uzuiaji wa Mtandao na Uchaguzi barani Afrika, ambalo linatoa wito kwa vyama vya serikali kuchukua hatua muhimu za kisheria na zingine ili kuhakikisha ufikiaji wa mtandao bila vikwazo na bila kukatizwa katika kipindi cha kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Hivyo basi, PIN inaitaka Serikali ya Tanzania kuzingatia haki za binadamu kwa kufanya yafuatayo:

Rejesha ufikiaji wa mtandao mara moja kwa X na majukwaa yote yenye vikwazo ikiwemo JamiiForums.

Acha kukatizwa zaidi kwa mtandao au jukwaa, haswa wakati wa michakato ya kidemokrasia.

Watoa Huduma za Mtandao (ISPs) wanapaswa kuhakikisha uthabiti na uhuru wa mtandao dhidi ya kuingiliwa, na kuchapisha ripoti za uwazi kila wanapoamriwa kuzima au kuzima huduma na Serikali.

Paradigm Initiative (PIN) huunganisha vijana wa Kiafrika wasiohudumiwa na fursa za kidijitali na kuhakikisha haki za kidijitali kwa wote. Tumefanya kazi katika jumuiya kote nchini Nigeria tangu 2007 na kote barani Afrika tangu 2017, tukijenga uzoefu, uaminifu wa jamii, na utamaduni wa shirika unaotuweka kama shirika lisilo la kiserikali linaloongoza katika ICT kwa Maendeleo na haki za kidijitali katika bara hili.

Tunatangaza bara linaloheshimu haki kupitia timu yetu katika ofisi za kanda nchini Cameroon, Kenya, Nigeria, Senegal, Zambia na Zimbabwe. Afua zetu zimeenea katika zaidi ya nchi 27 za Afrika. Paradigm Initiative inasukuma mtandao ambao uko wazi, unaoweza kufikiwa,.

My Take,
Natoa wito kwa serikali yetu,tuko kwenye zama za kidigiti,the world of information power, zamani kupata information ilikuwa hisani,lakini sasa information ni haki,the right to information, baada ya nchi yetu kupitisha sheria ya haki ya kupata habari,kitendo cha kuzima internet,ni ukiukwaji mkubwa wa haki habari kwa Watanzania,nchi yetu tuna bahati tuna wanasheria wazalendo wa uzalendo ukondoo,serikali inafanya madudu,haishitakiwi,kwa kukiuka haki za binaadamu na kusababishia watu hasara, tunakwenda kwenye mtangamano wa nchi za Africa Mashariki,ambao una free labor migratation,wanasheria wasio makondoo,tukiendelea kufanya ujinga kama huu,serikali itashitakiwa na kulipishwa mabilioni ya fidia!

Na kwa vile tunazuiwa kutumia VPN,hata serikali,msiendelee kutumia mitandao inayohitaji VPN!

Jambo baya kama hili naomba lisijirudie,mimi kwa upande wangu situmii VPN, natumia Samsung S.23 ultra,connectivity yake ni direct to sattelite

Paskali.
Mzee wa kupuliza
 
hakuna serikali hapa
Raisi SAMIA ALIJITANGAZA mshindi kwa ghiriba na hilla. baada ya wizi wa kura ambao haujawahi kushudiwa. Tena alijitangaza akiwa mafichoni huko jeshini NGERENGERE. ushinde kwa 98% kicha uapishiwe jeshini?
 
Mnafiki katika ubora wako.

2020 October mitandao ilipozimwa ulisema haikuzimwa bali ilizidiwa kutokana na wingi wa watanzania waliomiliki smartphone wakiwa mitandaoni kufuatilia uchaguzi , huku ukweli ni kuwa mitandao ilikuwa blocked kuipata ilihitaji VPN hata Netblocks walionyesha.

Sasa mwaka huu wamezima ISP huna ujanja wa kuleta uongo ule ule miaka mitano mbele.

Mliwazimia watanzania internet ili muwaue gizani dunia isijue na hata sasa nafahamishwa zile channel za Kenya na Al -Jazeera zimeshaondolewa katika local decorders maana zilikua zinahabarisha ulimwengu juu ya uchafu unaondelea huku nchi ikiwa gizani.

Kama tulivyo na vijana wa ovyo hata wazee wa ovyo wapo ambao ni kama wewe.

Shame on you!
Wanaharakati wengi kwa kutumwa na hao mnaowafanyia kazi hamuwezi kuuona ukweli kwamba TZ ilikuwa imevamiwa na nguvu za kutoka mataifa ya nje.

Kile kikosi maalum kisingeingilia kati mchana ule leo tungekuwa sawa na Somalia au Sudan ya zamani.

Mange Kimambi na wakenya wake waliweza kudhibitiwa baada ya internet kukatika, vinginevyo muda huu uwepo wa Tanzania ungekuwa sehemu ya historia.
 
Wapi nimesema namfanyia mtu mimi kazi?

Hebu onyesha hiyo kazi nayofanya ni ipi.

Kikosi cha wauaji, kama watu walipigwa risasi majumbani sio kikosi maalum bali cha wauaji.

Hadi leo sijaona msiba wa mkenya yoyote ambaye maiti ilitoka Tanzania wala sikusikia makabidhiano baina ya Kenya na Tanzania ya mkenya yoyote aliyeingia kwa njia haramu kuingia kwenye maandamano Tanzania.

Na media za Kenya ni independent kama hayo myasemayo yangekuwa kweli tungeona hizo maiti au waliokamatwa.

Muda unavyozidi kwenda mnaelekea kuupokea ukweli .
 
Network isingeweza kuendelea kuwa hewani wakati nchi ikiwa imevamiwa kwa nia ya kuchafuliwa ili isiweze kutawalika.

Walipigwa risasi majumbani baada ya vijana wenyewe kuanzisha machafuko huko mitaani, unachoma moto vituo vya mafuta unakimbilia nyumbani kujificha ukidhani umeshaepa ile dhambi ya uharibifu uliyoifanya huko mtaani, kumbe unawaponza wote waliopo nyumbani muda huo pamoja na wewe mwenyewe.

Unajua wamezikwa watu wangapi kwenye makaburi ya halaik? unajuaje waliomo humo kama ni watanzania peke yao?.

Mambo ya kukamatwa ni ya kiusalama zaidi sio kila kitu kinawekwa hadharani.
 
Raia wa nchi waweza kuvamia nchi?

Adhabu ya kuchoma kituo cha mafuta ni kupigwa risasi kwa mujibu wa sheria zipi?

Taarifa hiyo ipo katika media ipi ya Kenya , weka link hapa.

Kama nilivyosema sasa mmeanza kuukubali ukweli , mwanzo mlisema hakuna maiti zilizozikwa kule Kondo sasa mnakubali ni suala la muda warrant ikija kwa boss wenu mtasema yote.

Wewe na wenzio mkiwa vinara wa kupinga ripoti ya CNN leo mnakubali mlizika maelfu ya maiti katika kaburi la halaiki, vyombo vya habari vya Tanzania vimetiwa pingu hakuna mtu ana habari navyo tena.
Mambo ya kukamatwa ni ya kiusalama zaidi sio kila kitu kinawekwa hadharani.
Yule mliyesema ni mkenya mmemkata na mabomu Namanga mbona hamkuficha?

Halafu nani alikuambia kukamtwa inapaswa kuwa kimya kimya?

Na ndio modus operandi mnayotumia kuteka watu wanapotea jumla.

Kisheria kuna exemption ya mtu kufuatiliwa kimya kimya wanaziita covert operations , ila baada ya kumkamata taarifa inatakiwa kutolewa.

Ndio maana hata wale magaidi most wanted wa mabomu ubalozini pale 1998 ndugu zao wanajua walipo hadi leo.

Ila nyie mnateka hadi balozi na mnampoteza na mnasema hamjui alipo.
 
Raia wa nchi waweza kuvamia nchi?

Adhabu ya kuchoma kituo cha mafuta ni kupigwa risasi kwa mujibu wa sheria zipi?

Taarifa hiyo ipo katika media ipi ya Kenya , weka link hapa.

Kama nilivyosema sasa mmeanza kuukubali ukweli , mwanzo mlisema hakuna maiti zilizozikwa kule Kondo sasa mnakubali ni suala la muda warrant ikija kwa boss wenu mtasema yote.

Yule mliyesema ni mkenya mmemkata na mabomu Namanga mbona hamkuficha?
Zile zilikuwa ni vurugu zenye lengo la kuleta machafuko nchi isiweze kutawalika.

Jiulize kwanini wale vijana walipewa kesi ya uhaini waliposhtakiwa na sio kesi nyingine yoyote.

Unapofanya uhaini ukashindwa kutekeleza lengo maana yake upo tayari kwa mambo mawili, kupigwa risasi au kufungwa jela.

Wale polisi maalum walikuwa wanashughulika na uvunjifu wa amani usiokuwa wa kawaida, kulikuwa na uhaini ndani ya vurugu zote zile.

Achana na mambo ya link, usalama wa taifa haufanyi kazi kwa kuzianika kila mtu aweze kuzifikia, elewa kuwa nchi ilikuwa kwenye hatari mbaya ikabidi nguvu itumike katika kurudisha (utulivu na amani).

Huko ICC hawaendi kama vile mtu anakwenda kununua samaki ferry, sio kesi ndogo kama mnavyojidanganya.

DRC ndani ya wiki mbili wamekufa raia zaidi ya 2000 nani anaweza kumshtaki Rais Tshisekedi?.
 
Adhabu ya vurugu ni kupiga risasi ?

Na wale walioachiwa sio wahaini tena?

Mwigulu alisema mtu alitumiwa bilioni 5 kwenye simu ili afanye maandamano kwa akili za Mwigulu na wewe navyokuona hapo unaamini hicho kitu kinawezekana?

Uhaini ni nini??

Polisi maalum wanaruhusiwa kupiga watu risasi wakiwa majumbani?

Usitake kutafuta kichaka , hizo propaganda za enzi za cold war hazifanyi kazi tena, weka hapa link hiyo kuthibitisha ulichokisema kama huwezi ondoa kauli yako.

Wewe ndio chief prosecuter??

So kufa watu 200 kwako ni shangwe??

So Tshisekedi akiua 200 , Samia naye kuua 200 ni ruksa.?
 
Risasi hazifai hata kidogo lakini waliozitumia waliona zingeweza kurudisha hali ya amani iliyokuwepo kabla.

Siujui ushahidi wa Mwigulu ni upi, ingefaa ungemuuliza yeye mwenyewe.

SSH aliamua kuwasamehe baada ya mama zao kulia mbele ya kamera kila walipopata muda wa kuelezea machungu waliyopitia katika zile siku.

Uhaini ni tendo lolote lenye lengo la kuipindua serikali halali. vijana walivunja masanduku ya kuhifadhia kura pamoja na vibanda vya kupigia kura, ule ni uhaini.

Walikuwa wanaelekea kuchoma moto yale matenki ya kule TPA huo ni uhaini pia.

Zisingekuwa zile risasi kuanza kurindima vijana walitaka kuichoma moto Tanzania yote kwa ujumla. Walitaka kutunishiana misuli na wenye kazi za upolisi. Bahati mbaya wengi wao wakaaga dunia.

Sifurahii kifo cha mtu yoyote, ni machungu kwa familia inayompoteza mtoto tena akiwa hajafikisha hata miaka 25.

Lakini vijana inabidi wajifunze kuheshimu mamlaka, wasijidanganye kwamba wao wana haki peke yao.
 
Waliopigwa risasi nao walikua na bunduki hadi polisi watumie risasi za moto?

Huwezi kuelewa maana wote mna akili za kufanana..

Kwanini awasamehe ilhali mahakama ilitakiwa ilete ushahidi pasina shaka kuwa wao ni wahaini?

Kanisa la Gwajima lilifungwa alipokemea utekaji mwezi June, kesi ikiwa mahakamani kanisa limefunguliwa nyuma ya pazia bila amri ya mahakama sasa kwa utawala wa utashi binafsi wa mtu pasipo sheria ndio maana ya banana republic.

Nenda kasome tena tafsiri ya neno , uhaini kwa akili hizi ndio Katuga alikua anatoka jasho kila siku na kuomba hairisho la kesi.

Mbona hakukua na mtu bandarini aliyejaribu kuharibu chochote.

Wale watoto kwenye academy ya mpira , Dar es Salaam, Mwanza , na Mbeya nao walikua wanaandamana hadi wakapigwa risasi?

Master Tindwa na Sheikh Sharif Majini nao waliandamana?

Kama hufurahi kifo basi tulia na usiweweseke kusema fulani haendi ICC sababu mbona fulani kaua ila bado yupo tu.

Unawaambia hao vijana waheshimu mamlaka kama unayoiita na wewe huiheshimu umewasha VPN kwenye jukwaa lililofungiwa??

Waheshimu mamlaka isiyowaheshimu?

Waheshimu mamlaka ambayo hawajaichagua??

Waheshimu mamlaka inayovunja katiba?

Waheshimu mamlaka inayoteka watu halafu inasema wamejiteka?

Waheshimu mamlaka inayoua watu kwa kupiga risasi watu wake?

Waheshimu mamlaka inayoiba kura kila chaguzi??

Hizi akili utazipata CCM tu.
 
Zile risasi ndio matunda mabaya sana ya yale maneno kukinukisha waliyoyasema kina TAL na Heche kabla ya uchaguzi.

Tuna akili za kufanana halafu wewe unakuja na hoja inayotakiwa kujibiwa!.

Ushahidi ni ule wa kuvunja vituo vya kupigia kura na kupiga mateke zile ndoo za kuwekea kura, huo ni ushahidi tosha. Pia kumbuka siku ile ilikuwa ya uchaguzi unapofanya chochote kwa nia ya kuuvuruga uchaguzi maana yake unafanya tendo la uhaini.

Mkuu, hao vijana walikuwa wanaelekea huko TPA kwa nia ya kuchoma, pia walitaka kuichoma ile Magufuli Bus Stand pale mbezi.

Vifo vya watoto, Master Tindwa na Sheikh Sharif vinasikitisha sana, mazingira ya vita yalikuwa yameshatengenezwa na uhuni wa wale wahaini.

Siku zote vita haina macho, haichagui mhanga awe yupi na nani asiwe mhanga. Kaliuliwa katoto kana miezi sita hakajaweza hata kuongea. Hayo ni madhara ya kuitengeneza fitina mpaka ikakua, dhambi inayozaliwa inakwenda kuathiri mpaka wasiohusika.

Vyovyote ilivyo dola lazima iheshimiwe hatuwezi wote tukawa sawa na kambele ndani ya bahari kwamba kila mmoja ana ndevu kidevuni.

Mmejazwa taharuki nyingi na chuki za kijinga na hao kina Mange na Maria, chama tawala kinaendelea kupiga kazi kama kawaida.
 
Wanabodi

Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa.

Hii ni taarifa ya taasisi ya Paradigm Initiative (PIN)

Taarifa kwa vyombo vya habari: Gharama ya Kuzima Mtandao wa Tanzania na Kusimamishwa kwa X Inayoendelea Gharama Zaidi ya Dola za Marekani Milioni 238, Mpango wa Paradigm waonya

Dar es Salaam, 5 Novemba 2025: Paradigm Initiative (PIN) bado ina wasiwasi na kukatika kwa mtandao wa Tanzania katika kipindi cha uchaguzi, kuendelea kusimamishwa kwa X (zamani Twitter), na msongamano unaoendelea wa bandwidth kuripotiwa katika sehemu za nchi hata baada ya muunganisho wa jumla kurejeshwa tarehe 3 Novemba.

Usumbufu huu ni mbaya kiuchumi na unaharibu sana haki za kidijitali. Ukaidi huu wa wazi unakuja dhidi ya wito wa Net Rights Coalion na Tume ya Afrika ya Haki za Kibinadamu na Watu wa kuacha kuzima mtandao, kwa kuwa hii ni dharau kwa uhuru wa kujieleza na kupata habari kwa mujibu wa vifungu vya 9 na 19 vya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu na Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa, mtawalia.

Zaidi ya hayo, kuna hasara ya kweli ya kiuchumi inayotokana na kuzimwa kwa intaneti, jambo ambalo linakiuka haki ya maendeleo iliyojikita katika Ibara ya 22 ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu, ambayo Tanzania ni nchi mwanachama. Kuzimwa kwa mtandao wakati wa uchaguzi kulikuja wakati serikali ya Tanzania ilisitisha upatikanaji wa X tangu tarehe 21 Mei 2025. Kwa mujibu wa NetBlocks Cost of Shutdown Tool (COST), matukio hayo mawili yamegharimu uchumi wa Tanzania zaidi ya dola za Marekani milioni 238 (Tsh bilioni 560) katika hasara ya moja kwa moja ya uzalishaji, biashara na huduma za kidijitali.

Kuzimwa kwa intaneti nchini kote, kulianza tarehe 29 Oktoba hadi 3 Novemba 2025, kwa muda wa siku 5 na saa 6 (saa 126), kunamaanisha hasara ya angalau dola za Marekani 72,333,826 (TZS 170.27 bilioni), ambayo ni takriban dola za Marekani milioni 13.8 (TZS 32 bilioni) kwa siku.

Kusimamishwa kwa X, ambayo imeanza kutumika tangu tarehe 21 Mei 2025 (siku 166 na kuhesabika), inamaanisha hasara ya Dola za Marekani 165,817,059 (TZS 390.33 bilioni) ambayo ni karibu Dola za Marekani milioni 1 (TZS 2.3 bilioni) kwa siku.

Hasara ya pamoja ya kiuchumi ina maana ya zaidi ya dola za Marekani milioni 238 (TZS 560 bilioni) katika hasara ya moja kwa moja kwa uzalishaji, biashara na huduma za kidijitali.

Hasara nyingine ni pamoja na kijamii na kisiasa, usalama, taarifa za masoko nyeusi, kurudi nyuma kwa afya, uchumi usio rasmi (malipo ya simu, nk), na zaidi.

Muundo wa COST wa NetBlocks, ambao unatumia data kutoka Benki ya Dunia, ITU, na Eurostat, hutumia mbinu ya Taasisi ya Brookings kutathmini madhara ya moja kwa moja ya kiuchumi ya kuzimwa na kuzuiwa kwa majukwaa. Chombo hiki kinatambulika duniani kote kwa kutoa makadirio ya kihafidhina, yenye msingi wa ushahidi yanayotumiwa na serikali, Umoja wa Mataifa, na watafiti wa jumuiya za kiraia.

"Kila kuzima huacha uaminifu, uwekezaji, na uwezo wa kibinadamu," alisema 'Gbenga Sesan, Mkurugenzi Mtendaji wa Paradigm Initiative. "Serikali lazima zitambue kwamba katika ulimwengu wa sasa, muunganisho ndio msingi wa fursa. Kuzima mtandao kunanyamazisha raia, kudhoofisha uchumi, na kurejesha mataifa yote nyuma."

PIN pia inaikumbusha serikali ya Tanzania kuhusu Azimio namba 580 la Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Haki za Watu kuhusu Uzuiaji wa Mtandao na Uchaguzi barani Afrika, ambalo linatoa wito kwa vyama vya serikali kuchukua hatua muhimu za kisheria na zingine ili kuhakikisha ufikiaji wa mtandao bila vikwazo na bila kukatizwa katika kipindi cha kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Hivyo basi, PIN inaitaka Serikali ya Tanzania kuzingatia haki za binadamu kwa kufanya yafuatayo:

Rejesha ufikiaji wa mtandao mara moja kwa X na majukwaa yote yenye vikwazo ikiwemo JamiiForums.

Acha kukatizwa zaidi kwa mtandao au jukwaa, haswa wakati wa michakato ya kidemokrasia.

Watoa Huduma za Mtandao (ISPs) wanapaswa kuhakikisha uthabiti na uhuru wa mtandao dhidi ya kuingiliwa, na kuchapisha ripoti za uwazi kila wanapoamriwa kuzima au kuzima huduma na Serikali.

Paradigm Initiative (PIN) huunganisha vijana wa Kiafrika wasiohudumiwa na fursa za kidijitali na kuhakikisha haki za kidijitali kwa wote. Tumefanya kazi katika jumuiya kote nchini Nigeria tangu 2007 na kote barani Afrika tangu 2017, tukijenga uzoefu, uaminifu wa jamii, na utamaduni wa shirika unaotuweka kama shirika lisilo la kiserikali linaloongoza katika ICT kwa Maendeleo na haki za kidijitali katika bara hili.

Tunatangaza bara linaloheshimu haki kupitia timu yetu katika ofisi za kanda nchini Cameroon, Kenya, Nigeria, Senegal, Zambia na Zimbabwe. Afua zetu zimeenea katika zaidi ya nchi 27 za Afrika. Paradigm Initiative inasukuma mtandao ambao uko wazi, unaoweza kufikiwa,.

My Take,
Natoa wito kwa serikali yetu,tuko kwenye zama za kidigiti,the world of information power, zamani kupata information ilikuwa hisani,lakini sasa information ni haki,the right to information, baada ya nchi yetu kupitisha sheria ya haki ya kupata habari,kitendo cha kuzima internet,ni ukiukwaji mkubwa wa haki habari kwa Watanzania,nchi yetu tuna bahati tuna wanasheria wazalendo wa uzalendo ukondoo,serikali inafanya madudu,haishitakiwi,kwa kukiuka haki za binaadamu na kusababishia watu hasara, tunakwenda kwenye mtangamano wa nchi za Africa Mashariki,ambao una free labor migratation,wanasheria wasio makondoo,tukiendelea kufanya ujinga kama huu,serikali itashitakiwa na kulipishwa mabilioni ya fidia!

Na kwa vile tunazuiwa kutumia VPN,hata serikali,msiendelee kutumia mitandao inayohitaji VPN!

Jambo baya kama hili naomba lisijirudie,mimi kwa upande wangu situmii VPN, natumia Samsung S.23 ultra,connectivity yake ni direct to sattelite

Paskali.
Kutokana na hali hii ya over-dependency kwenye mtandao wa intaneti nahoji tu ikitokea quantum apocalypse in the near future, manake ndo inatokea total social collapse and probably existential threat kwasababu vita lazima vitokee na ni vita vikubwa kidunia, just imagine that! Au itokee solar storm kubwa iharibu miundombinu mingi ya umeme na data centers, just imagine! Heri yao wenye uwele wa haya mambo maana wameshaandaa alternative economy driving strategies!
 
Zile risasi ndio matunda mabaya sana ya yale maneno kukinukisha waliyoyasema kina TAL na Heche kabla ya uchaguzi.
Kukinukisha ni uhaini?

Si ajabu kwa akili hizi wewe ndio miongoni mwa mlioshauri zile video za session za mahakama zifutwe kwenye ukurasa wa mahakama wa YouTube, nenda uziangalie katika archive katika channels zingine kilipofika kipengele cha neno kukinukisha Lissu alielezea vizuei
Tuna akili za kufanana halafu wewe unakuja na hoja inayotakiwa kujibiwa!.
Hoja ipi uliyojibu nimekuuliza unaposema watu waheshimu mamlaka halafu wewe umewasha VPN umeshika bango la kusifia hiyo unayosema mamlaka iliyofungia hili jukwaa nani haheshimu hapo?

Binafsi mimi siwezi heshimu mamlaka haramu isiyo na idhini na umma kwa kuchaguliwa bali mtutu wa bunduki.
Ushahidi ni ule wa kuvunja vituo vya kupigia kura na kupiga mateke zile ndoo za kuwekea kura, huo ni ushahidi tosha. Pia kumbuka siku ile ilikuwa ya uchaguzi unapofanya chochote kwa nia ya kuuvuruga uchaguzi maana yake unafanya tendo la uhaini.
Bado ninakuuliza kuvunja vituo vya kupigia kura na kupiga masanduku mateke ni uhaini?

Sheria ipi hiyo imeyasema hayo , hebu fanya kui-quote hapa .
Mkuu, hao vijana walikuwa wanaelekea huko TPA kwa nia ya kuchoma, pia walitaka kuichoma ile Magufuli Bus Stand pale mbezi.
Wapi walisema wanaelekea huko? Video zipo na hujiulizi kwanini hata kama walikua wanaelekea kuchoma TPA kwanini wakachome TPA na sio hospitali?
Vifo vya watoto, Master Tindwa na Sheikh Sharif vinasikitisha sana, mazingira ya vita yalikuwa yameshatengenezwa na uhuni wa wale wahaini.
Kwahiyo huu ndio utetezi mpya mliopewa huko Lumumba???

Unayajua mazingira ya vita wewe achilia mbali vita yenyewe ??

Vita gani inapigana baina ya watu waliobeba AK-47 na kundi lingine limebeba bendera, simu , na maji ya kunywa?
Siku zote vita haina macho, haichagui mhanga awe yupi na nani asiwe mhanga. Kaliuliwa katoto kana miezi sita hakajaweza hata kuongea. Hayo ni madhara ya kuitengeneza fitina mpaka ikakua, dhambi inayozaliwa inakwenda kuathiri mpaka wasiohusika.
Hii ni akili ya wapi?

Tarehe 29 kulikua na vita???

Mtu anapigwa risasi ndani ya nyumba amekaa tu unasema kulikua na vita???
Vyovyote ilivyo dola lazima iheshimiwe hatuwezi wote tukawa sawa na kambele ndani ya bahari kwamba kila mmoja ana ndevu kidevuni.
Hakuna dola haramu itakayoheshimiwa na matokeo ya dola zote haramu ni anguko la aibu, Libya, Egypt, Uganda, Zaire, Zimbabwe , Madagascar , Tunisia na hata sasa Iran inafuata mkondo huo huo.
Mmejazwa taharuki nyingi na chuki za kijinga na hao kina Mange na Maria, chama tawala kinaendelea kupiga kazi kama kawaida.
Hakuna mtu aliyemjaza wala hakuna mtu aliyetarajiwa kujaza , hao unaowataja wao wako nje ya nchi hawakuwepo Tanzania sasa wamejaza nini?

Hicho chama tawala kazi kinayopiga ni kuteka watu, mauaji , wizi , ufisadi , kupeana teuzi kindugu na kifamilia na kutengeza machawa.

Ndio chama hicho hicho hakina ubunifu wa kupata vyanzo vya maji katika jiji kubwa la nchi huku kikisema kutonyesha mvua ndio chanzo cha ukosefu wa maji ilhali kuna nchi ziko jangwani na wanapata huduma ya maji mara zote.

Kazi nyingine kinachofanya ni kufungia mitandao na machawa kama wewe mnawasha VPN kuja kusifia humu ilhali mmenyimwa haki yenu ya kikatiba kupata taarifa.
 
Kukinukisha ni uhaini?

Si ajabu kwa akili hizi wewe ndio miongoni mwa mlioshauri zile video za session za mahakama zifutwe kwenye ukurasa wa mahakama wa YouTube, nenda uziangalie katika archive katika channels zingine kilipofika kipengele cha neno kukinukisha Lissu alielezea vizuei

Hoja ipi uliyojibu nimekuuliza unaposema watu waheshimu mamlaka halafu wewe umewasha VPN umeshika bango la kusifia hiyo unayosema mamlaka iliyofungia hili jukwaa nani haheshimu hapo?

Binafsi mimi siwezi heshimu mamlaka haramu isiyo na idhini na umma kwa kuchaguliwa bali mtutu wa bunduki.

Bado ninakuuliza kuvunja vituo vya kupigia kura na kupiga masanduku mateke ni uhaini?

Sheria ipi hiyo imeyasema hayo , hebu fanya kui-quote hapa .

Wapi walisema wanaelekea huko? Video zipo na hujiulizi kwanini hata kama walikua wanaelekea kuchoma TPA kwanini wakachome TPA na sio hospitali?

Kwahiyo huu ndio utetezi mpya mliopewa huko Lumumba???

Unayajua mazingira ya vita wewe achilia mbali vita yenyewe ??

Vita gani inapigana baina ya watu waliobeba AK-47 na kundi lingine limebeba bendera, simu , na maji ya kunywa?

Hii ni akili ya wapi?

Tarehe 29 kulikua na vita???

Mtu anapigwa risasi ndani ya nyumba amekaa tu unasema kulikua na vita???

Hakuna dola haramu itakayoheshimiwa na matokeo ya dola zote haramu ni anguko la aibu, Libya, Egypt, Uganda, Zaire, Zimbabwe , Madagascar , Tunisia na hata sasa Iran inafuata mkondo huo huo.

Hakuna mtu aliyemjaza wala hakuna mtu aliyetarajiwa kujaza , hao unaowataja wao wako nje ya nchi hawakuwepo Tanzania sasa wamejaza nini?

Hicho chama tawala kazi kinayopiga ni kuteka watu, mauaji , wizi , ufisadi , kupeana teuzi kindugu na kifamilia na kutengeza machawa.

Ndio chama hicho hicho hakina ubunifu wa kupata vyanzo vya maji katika jiji kubwa la nchi huku kikisema kutonyesha mvua ndio chanzo cha ukosefu wa maji ilhali kuna nchi ziko jangwani na wanapata huduma ya maji mara zote.

Kazi nyingine kinachofanya ni kufungia mitandao na machawa kama wewe mnawasha VPN kuja kusifia humu ilhali mmenyimwa haki yenu ya kikatiba kupata taarifa.
Nani kakwambia hapa nawasiliana na wewe nikiwa nimewasha VPN?. Unajenga hoja yako kwa msingi usiokuwepo.

Kukinukisha ni tangazo la shari, tangazo la vita kati ya CCM na waumini wa chama chao pamoja na watanzania wengine wanaowaunga mkono. Kauli ya hatari yenye kila sifa ya kuwekwa kwenye kundi la wachochezi.

Sisi tuliopiga kura kumchagua SSH katika uchaguzi halali wa October 29 ambao nyinyi mlitaka kuuharibu, ndio tumempa mamlaka hayo ya kuwa Rais wa Tanzania, nyinyi wazee wa no reform kutomkubali hayo ni matatizo yenu binafsi.

Ile ilikuwa siku ya uchaguzi, unapofanya vitendo vyovyote vya kuashiria kuivuruga siku hiyo unakuwa umetenda kosa la uhaini. Kutaka nchi isitawalike ni uhaini.

Yale mazingira mliyotengeneza siku ile ndio ya vita, yale kule DRC ni maisha yao ya kila siku, unyama na ushetani wa kila aina. Mlitaka nchi isitawalike mkadhibitiwa vilivyo.

Unashangaa kupigwa risasi ukiwa nyumbani mbona hushangai watu waliokatwa vidole kisa wametimiza haki yao ya kupiga kura?. Mbona huongelei hasara ya mabilioni ya pesa aliyosababishiwa Lake Oil kisa tuhuma kwamba mali zake zinamilikiwa pia na JK!!.

Dola hii ni halali na itaendelea kuwepo kwa miaka mingi tu, nyinyi kususia uchaguzi wakati kuna uwakilishi wa vyama 17 haiwezi kuinyima usingizi hii dola.

Endeleeni kudanganyana na kina Heche na Lissu.
 
Umeandika pumba nyingi maswali yangu ninayokuuliza hujibu.

Hii itakua reply yangu ya mwisho kwako.

Tazama hapa jinsi vyombo vya dola vilivyokabiliana na wafuasi wa Trump pale Capitol, ingekua ndio hizi akili za Muliro na Mafwele siku hiyo wangedocument maelfu ya vifo.

View: https://youtu.be/jWJVMoe7OY0?si=69gMmXgQci_wjFF5
 
Kukinukisha ni uhaini?

Si ajabu kwa akili hizi wewe ndio miongoni mwa mlioshauri zile video za session za mahakama zifutwe kwenye ukurasa wa mahakama wa YouTube, nenda uziangalie katika archive katika channels zingine kilipofika kipengele cha neno kukinukisha Lissu alielezea vizuei

Hoja ipi uliyojibu nimekuuliza unaposema watu waheshimu mamlaka halafu wewe umewasha VPN umeshika bango la kusifia hiyo unayosema mamlaka iliyofungia hili jukwaa nani haheshimu hapo?

Binafsi mimi siwezi heshimu mamlaka haramu isiyo na idhini na umma kwa kuchaguliwa bali mtutu wa bunduki.

Bado ninakuuliza kuvunja vituo vya kupigia kura na kupiga masanduku mateke ni uhaini?

Sheria ipi hiyo imeyasema hayo , hebu fanya kui-quote hapa .

Wapi walisema wanaelekea huko? Video zipo na hujiulizi kwanini hata kama walikua wanaelekea kuchoma TPA kwanini wakachome TPA na sio hospitali?

Kwahiyo huu ndio utetezi mpya mliopewa huko Lumumba???

Unayajua mazingira ya vita wewe achilia mbali vita yenyewe ??

Vita gani inapigana baina ya watu waliobeba AK-47 na kundi lingine limebeba bendera, simu , na maji ya kunywa?

Hii ni akili ya wapi?

Tarehe 29 kulikua na vita???

Mtu anapigwa risasi ndani ya nyumba amekaa tu unasema kulikua na vita???

Hakuna dola haramu itakayoheshimiwa na matokeo ya dola zote haramu ni anguko la aibu, Libya, Egypt, Uganda, Zaire, Zimbabwe , Madagascar , Tunisia na hata sasa Iran inafuata mkondo huo huo.

Hakuna mtu aliyemjaza wala hakuna mtu aliyetarajiwa kujaza , hao unaowataja wao wako nje ya nchi hawakuwepo Tanzania sasa wamejaza nini?

Hicho chama tawala kazi kinayopiga ni kuteka watu, mauaji , wizi , ufisadi , kupeana teuzi kindugu na kifamilia na kutengeza machawa.

Ndio chama hicho hicho hakina ubunifu wa kupata vyanzo vya maji katika jiji kubwa la nchi huku kikisema kutonyesha mvua ndio chanzo cha ukosefu wa maji ilhali kuna nchi ziko jangwani na wanapata huduma ya maji mara zote.

Kazi nyingine kinachofanya ni kufungia mitandao na machawa kama wewe mnawasha VPN kuja kusifia humu ilhali mmenyimwa haki yenu ya kikatiba kupata taarifa.
Hilo zuzu linakuchosha tu....

Mkuu usipoteze muda kumjibu huyo 'Bot'.
 
Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa.
Nyie si mnatuambiaga siku zote Serikali haina hasara..

Hii hasara uliyoitaja hapa umeipata wapi?..
 
Hilo zuzu linakuchosha tu....

Mkuu usipoteze muda kumjibu huyo 'Bot'.
Nimekuja kufuatilia vizuri huyu na mwenzake mmoja humu ndio walikua miongoni mwa waliopika maandamano feki ya juzi kuelekea ubalozi wa Vatican , na pengine naye alikuwepo katika wale vilaza 100.
 
Back
Top Bottom