Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi.

Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye moto kupitia propaganda kwa kuzusha ya ziada.Marekani kupitia Pentagon ilisema wao walikuwa wakifuatilia kwa makini mwenendo mzima wa majibizano ya Prigozhin na makamanda wa Urusi.

Hata hivyo kuzimwa kwa uasi ule umeonesha kwa mara nyengine jinsi gani Putin alivyo mwamba kwenye vita hivi na imeongeza nguvu na moyo wa mapigano kwa jeshi la Urusi. Kwa upande mwengine umeongeza hofu kwa Zelensky na washirika wake wa NATO.

Hata kama kungekuwa na uasi uliofanikiwa basi usingepaswa kuongozwa na Prigozhin mtu ambaye kichwani ni mkavu sana katika historia na hana hekima katika matamshi yake.
 
Prigozhin kakamatwa????[emoji101]
 
Uasi umeonyesha nyufa nyingi kwenye jeshi LA Urusi na Putin. Anachoweza kufanya Putin kwa sasa ni ama aende kwenye meza ya mazungumzo na Ukraine wamalize vita alivyoanzisha au atumie silaha za nyuklia,,,kwa silaha za kawaida hawezi shinda.
Akitumia nuclear na yeye ajiandae kuzama.
"Amwagaye tope naye humrukia"
 
Wishfully thinking.
 
Hv unavutaa bangi ? Zele apate hofu kwa mtu ambae ashaanza pata upinzan ndan ya nchi yake ? Alishindwa pata hofu nchi nzima ilipozungukwa na Urusi ambayo haikuwa na challenges zozote ndan ya mipaka yake leo atishike na huyu andunje anaomba maridhiano
 
Prigozhin kakamatwa????[emoji101]
Amekwwnda Belarus kupumzika.

Ni makubaliano ili aachwe usitokee mtafaruki.

Urussi angefyekelewa mbali na wahafidhina, na duniani sehemu pekee salama ni Belarus ,latin america, africa , syria, iran na korea kusini [emoji2]
 
Hv unavutaa bangi ? Zele apate hofu kwa mtu ambae ashaanza pata upinzan ndan ya nchi yake ? Alishindwa pata hofu nchi nzima ilipozungukwa na Urusi ambayo haikuwa na challenges zozote ndan ya mipaka yake leo atishike na huyu andunje anaomba maridhiano
Hujui kinachoendelea,Chutama.
===
Tarehe 26/02/2022 inaripotiwa Zelensiky aomba msaada kutoka Israel kunusuru maisha yake.

Xxxxxxxx
Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Chama kikubwa nchi yaani tarehe 5/02/2023 inaripotiwa kuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alihakikishiwa na Putin kuwa Zelensiky hatadhurika.

Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi.

Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye moto kupitia propaganda kwa kuzusha ya ziada.Marekani kupitia Pentagon ilisema wao walikuwa wakifuatilia kwa makini mwenendo mzima wa majibizano ya Prigozhin na makamanda wa Urusi.

Hata hivyo kuzimwa kwa uasi ule umeonesha kwa mara nyengine jinsi gani Putin alivyo mwamba kwenye vita hivi na imeongeza nguvu na moyo wa mapigano kwa jeshi la Urusi. Kwa upande mwengine umeongeza hofu kwa Zelensky na washirika wake wa NATO.

Hata kama kungekuwa na uasi uliofanikiwa basi usingepaswa kuongozwa na Prigozhin mtu ambaye kichwani ni mkavu sana katika historia na hana hekima katika matamshi yake.
Prigozhin hakua na Jeshi la Kuangusha Putin, angepigaa tuu!! Ndio Sababu walimwambia akifika Kilomita 200 kuitafuta Moscow, ataanza kupigwa !!.

Ngoja Putin afanye Mabadiliko ya kiuongozi ya kijesh Rostov !! , Pale Kuna makamanda walimsaliti Putin.
 
Hizo ni affairs za Warusi wenyewe. Kuwahusisha majirani sidhani kama ni sawa. Wenyewe pia walikuwa na popcorn kama sisi wakitazama wanavyotunishiana misuli. Kama walihusika basi ni kuchonganisha tu.
 
Uasi umeonyesha nyufa nyingi kwenye jeshi LA Urusi na Putin. Anachoweza kufanya Putin kwa sasa ni ama aende kwenye meza ya mazungumzo na Ukraine wamalize vita alivyoanzisha au atumie silaha za nyuklia,,,kwa silaha za kawaida hawezi shinda.
Akitumia nuclear na yeye ajiandae kuzama.
"Amwagaye tope naye humrukia"
Kuweni serious basi!Inamaana hujui tofauti ya PMC na jeshi la Urusi?
 
Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi.

Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye moto kupitia propaganda kwa kuzusha ya ziada.Marekani kupitia Pentagon ilisema wao walikuwa wakifuatilia kwa makini mwenendo mzima wa majibizano ya Prigozhin na makamanda wa Urusi.

Hata hivyo kuzimwa kwa uasi ule umeonesha kwa mara nyengine jinsi gani Putin alivyo mwamba kwenye vita hivi na imeongeza nguvu na moyo wa mapigano kwa jeshi la Urusi. Kwa upande mwengine umeongeza hofu kwa Zelensky na washirika wake wa NATO.

Hata kama kungekuwa na uasi uliofanikiwa basi usingepaswa kuongozwa na Prigozhin mtu ambaye kichwani ni mkavu sana katika historia na hana hekima katika matamshi yake.
Urusi ilishapoteza uelekeo siku nyingi sana, kwa wenye akili na waona mbali tulishajua ila kwenu nyie wajinga ndio mnababaika na kuleta viuzi vyenu humu vya kitoto
 
Amekwwnda Belarus kupumzika.

Ni makubaliano ili aachwe usitokee mtafaruki.

Urussi angefyekelewa mbali na wahafidhina, na duniani sehemu pekee salama ni Belarus ,latin america, africa , syria, iran na korea kusini [emoji2]
Kaenda na jeshi lote la mamluki
 
Hujui kinachoendelea,Chutama.
===
Tarehe 26/02/2022 inaripotiwa Zelensiky aomba msaada kutoka Israel kunusuru maisha yake.

Xxxxxxxx
Siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Chama kikubwa nchi yaani tarehe 5/02/2023 inaripotiwa kuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alihakikishiwa na Putin kuwa Zelensiky hatadhurika.

Sion uhusiano wa unayoandikwa , mara alihakikishiwa Zele kutodhirika na Israel kwan Zele ni raia wa Israel au ni raia wa Ukraine mwenye asili ya kiyaudi sasa usalama wa Zele upo chini ya serikali ya Israel au Ukraine ? , mara kushindwa kwa uasi wa Prigo ni kushindwa kwa Ukraine uhusiano upo wap kwa scenario hii , mara Ilikuwa propaganda sio uasi ndo hadi kutekwa Rostov ni propaganda ? Je inafaida gan kwa Urusi kwenye kipind hiki cha uvamizi wake Ukraine , ebu unganisha dot tuelew hoja yako ( zako )
 
Back
Top Bottom