Kuzingatia "vichwa": Wanawake sio ubaguzi huu??

Kuzingatia "vichwa": Wanawake sio ubaguzi huu??

Wewe, malezi ya mama ni ishu pia
Lakini kama ukilaza ni wa kurithi, utasumbua hadi wajukuu

Ni kuharibu mbegu ya ukoo mzima
Bora mtoto ashindwe kwa malezi ya mama ila wajukuu waweza bahatika.

Reasoning naikubali ila action ndio natofautiana kidogo. Ni kweli DNA ya baba ndio ya mtoto which includes all hereditary traits ila malezi ya mama mmoja nayo ni risk hata kama factors nyingine zina hold.
 
Kwahiyo Mwanahasha tatizo wapi hasa!? ni yule mmachinga au Mkwerre?

Hapa lazima mkwerre itakuwa inahusu' sana!

Remember Mkwerre ana Degree ya uchumi From UDSM na Mama ni Mwalimu Academicaly!!

Sasa walimu si ndio 'vichwa'! Au?

Shaabukda, the point is: mbona sasa Mwanaasha amechemsha?

Mwali asante sana maana uzuri wake hata humu humu JF ni rahisi kuvijuwa vichwa bila hata ya hizo Degree, hii ni moja ya sababu ya mtu kuitwa kichwa, Understanding.

I see.
 
Unajua sheria ya nature inataka only the fittest to survive
Zamani kua fit ilikua ni kukimbia, kuwinda na kulima sana
Leo kua fit ni uwezo wa kufikiria, uwezo wa kazi nzuri etc.
Basi dada katumia law of nature selection, only the fittest...
But sijui kama akili nazo ni hereditary kama anavo pendekeza

Du mbona mmsehau Darwin Theory kuwa kuna gene huwa zimejificha one day zikitokea waweza kuona wana asili ya uzezeta na mtoto wako akapata. Lakini kiimani hivi waweza kupanga kuzaa mtoto genius au ni kutojua maajabu ya Muumba.
 
Huyu dada ana akili kabisa, nafikiri biolojia alielewa vizuri mambo ya Hereditary and genes factor!!! Supper!!! Ukweli ndo huo!!! Kilaza kama ni dorminant factor lazima atazaa kilaza!!! Hata wanaotafuta watu wa kuwazalia ulaya anatafuta dorminant genes anazipambanisha naye anapata dorminant gene!!! And that goes on and on and on!!! And that works more kwa upande wa wajomba!!! Soma hii sana. Kwa hiyo na huyu dada kaka zake wako fiti kichwani au?
 
UNA hatari wewe unadisclose you identinty. kuwa makini aisee.
 
Huyu dada ana akili kabisa, nafikiri biolojia alielewa vizuri mambo ya Hereditary and genes factor!!! Supper!!! Ukweli ndo huo!!! Kilaza kama ni dorminant factor lazima atazaa kilaza!!! Hata wanaotafuta watu wa kuwazalia ulaya anatafuta dorminant genes anazipambanisha naye anapata dorminant gene!!! And that goes on and on and on!!! And that works more kwa upande wa wajomba!!! Soma hii sana. Kwa hiyo na huyu dada kaka zake wako fiti kichwani au?

Ufafanuzi kwenye red please...
 
All in all hakuna mtu anyetetea uzezeta lakini vilevile ni lazima tukubaliane kwamba kuna wenye vyeti na kuna wenye elimu Regardless wana vyeti au hawana, mfano hai tulijionea wenye hivi majuzi tu hapa Bungeni kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EA kuna Masters holders na Phd Holders walishindwa hata kujieleza pale Bungeni kwa Lugha ya Kikristo.
JB WISER sikubaliani na wewe hata kidogo, kujua kuzungumza kwa Lugha ya Kikriso sio kuelimika au kuwa na akili. Kuna bongolala mmoja alitoka majuu alikoishi siku nyingi akibeba box. Akibonga lugha ya kikristu kila mtu hoi, kila mtu anamkubali! Nilimkimbia kwa kushindwa ku reason nae maana ni bongolala haswa!
 
Ndio maana huwa napinga Binadamu wote si sawa, najuwa tuko hapa kuchallenge Bongo zetu lakini inasikitisha sana wale wanaoitwa wasomi wa Bongo kuja kupata ushauri na usaidizi wa vitu ambavyo vimebase zaidi Academicaly kwangu mimi msomi wa Street University wakati mimi nilipaswa kupata consultation kwao!!

All in all hakuna mtu anyetetea uzezeta lakini vilevile ni lazima tukubaliane kwamba kuna wenye vyeti na kuna wenye elimu Regardless wana vyeti au hawana, mfano hai tulijionea wenye hivi majuzi tu hapa Bungeni kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EA kuna Masters holders na Phd Holders walishindwa hata kujieleza pale Bungeni kwa Lugha ya Kikristo.

you have my thanks mkuu.
 
Kumbe hii kitu ipo
serious namna hii! Sasa wale wanaofaulu kwa kuiba pepa na kudesa
inakuwaje hapa! Si unaweza ingia chaka!?

Simple! Unamu interview kabla ya kupanda kwa bed.
 
Panapo red ndio lengo hasa! Ya nini kuijaza dunia vilaza?

Wakati nipo chuoni wanafunzi walikuwa wanamchukia prof. mnoko kwenye somo lake la "land law". Prof. alikuwa anapenda kuonyesha kuwa land law ndio somo gumu kuliko yote kwa masomo ya sheria. Basi wanafunzi wakawa wanamalizia hasira zao kwa kumtukania wanae kuwa amezaa watoto wote vilaza japo yeye ni mkali wa sheria. Wanafunzi wa kiume wenye kumtetea wakadai kuwa watoto wamefuata akili ya mama yao. Ubishi kati ya wanafunzi wa kike na hao wa kiume kidogo usababishe ugomvi mkubwa.

Je, kwa wale ambao mama na baba wote maprofesa nao wakabarikiwa watoto wanne kati ya hao wawili wanafanya vizuri sana na wawili ni vilaza kabisaaaa..........kwahiyo mtasema huyo mama alichakachua au??? Na kwa wale ambao wazazi wote vilaza halafu watoto wakatoka na neema ya ajabu mtasemaje nao????
Hebu tuangalie hayo mambo kwa upana zaidi.
 
Mmmh!! Hii waungwana kali wacha nisepe tu!! :israel:
 
Ingekuwa hiyo ina hold sijui wengine tungekuwa wapi leo. Wengine wazazi wetu waliishia darasa la saba lakini watoto tulikuwa vipanga mpaka leo tuna initial kali na tuna hold position nzuri tunapofanyia kazi. Hapa utasemaje. Na wengine baba zao tunawajua ni wasomi waliobobea lakini watoto wakawa wajinga waliobobea katika masomo na maishani. Hapo utasemaje. Huyo dada akapimwe akili kwanza
 
You're right, the theory doesn't hold water.
 
JB WISER sikubaliani na wewe hata kidogo, kujua kuzungumza kwa Lugha ya Kikriso sio kuelimika au kuwa na akili. Kuna bongolala mmoja alitoka majuu alikoishi siku nyingi akibeba box. Akibonga lugha ya kikristu kila mtu hoi, kila mtu anamkubali! Nilimkimbia kwa kushindwa ku reason nae maana ni bongolala haswa!
Aha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!ha! ha! ha! ha! ha!
JB WISER @ NEW YORK CITY, USA.
 
Enhe. . . mf. wa 'vichwa' humu JF?
Lizzy Wewe unadhani utapewa tuzo tu hivi hivi kama siyo kichwa? by the way umewaahidi wadau hapa kama utawashushia nondo naona mpaka saa hizi kimya!!
 
Last edited by a moderator:
Lizzy Wewe unadhani utapewa tuzo tu hivi hivi kama siyo kichwa? by the way umewaahidi wadau hapa kama utawashushia nondo naona mpaka saa hizi kimya!!

JB WISER hehehehehe. . . .nimekusoma.
Ehhhh nilikua busy nashibisha vichwa vya nyumbani kwangu. . .ngoja nikitulia ntatimiza ahadi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom