Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

TANZANIA NI KUBWA KULIKO TEC .


DP WORLD WATAENDESHA BANDARI HATA KAMA TEC WATACHUKIA.


TEC WATALIPA KODI/USHURU KWA MWARABU HAPO BANDARINI.


MIZIGO HARAMU YA TEC ITAKUWA NDO MWISHO KUPITA HAPO BANDARINI BILA USHURU NA KUTOKAGULIWA.


MUNGU IBARIKI DP wORLD [emoji289]
 
Nape anapes za kuwahonga ili kumsitiri bosi wake lakin muda ni mwalimi mziuri
 
Wanajela za kuwahonga Akina balile lakini hawana hela za kuwalipa watumishu MISHAHARA
 

Tatizo hayo unayoyaongea hayapo kwny mkataba unaoupigia debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…