Kuzuia mchanga wa dhahabu, Magufuli anastahili pongezi. Tusiishie kwenye madini tu, na gesi je?

Ivi tukisema kuwa waache kusafirisha huo mchanga alafu tujenge uwezo wetu wa ndani wa kuuchakata au hao wawekezaji wajenge hivyo viwanda vya kuchakata hapa nchini kuna makosa hapo
 
Akili fupi sana hizo we binadamu, loyalty sijui na ujinga gani ndiyo sababu tosha kuwaruhusu wapeleke mchanga ( wenye dhahabu nyingi kuliko ile inayoonyeshwa hapa ndani)?!!!

Kweli vyeti siyo muhimu. Umejaribu kueleza kwa videtail vya hovyo hovyo ukitaka watu waamini hivyo?!

Data za makaratasini haswa za watu wa madini nazifananisha na mainstream media ambazo kamwe haziwezi kukuambia ukweli. Sasa wewe endelea na hayo makaratasi yako.
 
Tatizo wajinga ndio hujiona wajuaji hii Tz
 
ni kweli dili za ubabaishaji zimeisha heshim mjini imerudi hata mashamba ya kahawa kule masama yanalimwa vizuri sasa na idadi ya watu dar imepungua.
 
Kuzuia kontena zenye mchanga wa dhahabu ni jambo jema. Hofu yangu kesi hii isije ikafanana na ya meli iliyokamatwa na kuzuiliwa kwa madai kuwa ilikuwa inavua samaki wetu na ambayo matokeo yake inasemekana tunadaiwa hela ya kufidia samaki tuliogawana na uharibifu wa meli na mengineyo. Mara hii serikali ichukue tahadhari ya kutosha.
 
Kama ni africa nnayoijua huyo rais wako mpaka sasa anashika namba mbili kutoka mkiani!


Wewe lia tu, ukitaka kuishi kwa Amani hapa Bongo fuata sharia. Umagumashi mwiso wake Mzoga/Chalinze...tunamuunga mkono Magufuli kwa kutaka kuleta Tanzania yenye maendeleo si ya shamba la bibi. Haya mapovu yanayokutoka ni madhara ya kutokuwa na rais miaka 30, wewe na mambumbumbu wenzio mliishi kiujanjaujanja tu na kuona shule haina faida, ona sasa unachemka. Rudi kijijini.
 
Afrika hakuna ndio maana tunapeleka Japan
P.
Kupeleka Japan isn't our choice as nation it is investors choice,them exporting to Japan doesn't mean that Africa has no any refinery plant, taking it far to Japan it may sometimes be hiding frm our investigators who may leak info to the gvt that it's not only 20% of gold,nickel and copper present in the exported concentrate, it maybe more than that.

So in whichever way possible let's support the movie than placing curses. It's very astonishing today we support these investors whom we had complaining for the past decades that are stealing our resources.

If u get time pay a visit to Buhemba gold mines and see the bardens these pipo hv left to our motherland.
 
Yaani njaa(mayalla) mbaya sana. Watch it
 
Mtu unaibiwa...alafu wajinga wanasema usitumie mabavu kuzuia wahalifu...zimo kweli wewe au wenyewe wamekushikia?


TATIZO hutaki kuliona TATIZO. TATIZO sio wawekezaji. TATIZO ni SERIKALI YA CCM iliyowekeana mikataba na Hao wawekezaji.

Huwezi kumruhusu mtu "KULALA NA MKEO" halafu ukalazimisha kumshika ugoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…