johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo upinzani ndio Jazz band!CCM waendelee kuzuia mikutano na vyama vya upinzani vinsvyojitambue visiingie kwenye chaguzi zozote nchini.
Wananchi wataelewa tu.
Bar bila muziki hakunogi
Umesema ukweli. Na uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru CCM ingeshindwa vibaya sana. Lakini naona mama hilo halimsumbui kwa sababu ameshajua inawezekana kutumia nguvu kupora kura na kisitokee chochote.Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tatizo CCM ilishajifiaga hamna Chama nyie, na MaCCM wote mnalijua hilo,Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Siyo Kweli ,maana CCM Wanasema Uchaguzi wa Octoba 2020 walishinda Kwa Kishindo 98% never ever happened since then. Ila in reality Hakuna uchaguzi uliowapa taabu kama 2020, hawatakaa wakasahau kwani walibanwa Kama Mjuzi anavyobanwa na Mlango. In short wakiendelea na utaratibu wa kuwabana wapinzani kwao ni disaadvantage, kuna siku watafurushwa.Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Yeye mama kama anaweza kupora uchaguzi apore tu..sisi tutampigia goti Mungu atatujibu. Hajawahi kutuangushaUmesema ukweli. Na uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru CCM ingeshindwa vibaya sana. Lakini naona mama hilo halimsumbui kwa sababu ameshajua inawezekana kutumia nguvu kupora kura na kisitokee chochote.
Msikilize Bashiru wa enzi zileee akiwa Mlimani.Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hii account imekua HACKED leo naona, si kawaida kwa UVCCM kuandika post za mfumo huu.Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni yeye original kabisa! Wana CCM wote wanajua hitaji la katiba mpya isipokuwa wanawahofia baadhi ya viongozi wao!Hii account imekua HACKED leo naona, si kawaida kwa UVCCM kuandika post za mfumo huu.
Kumbe? Lakini si wanaema hakuna mkubwa kuliko chama? Wanashondwaje kuwa outshine hao viongozi wao?Ni yeye original kabisa! Wana CCM wote wanajua hitaji la katiba mpya isipokuwa wanawahofia baadhi ya viongozi wao!
Aisee ni kweli uchaguzi ulikuwa mgumu, yaani Tundu Lissu hakuwa na bango ATA moja, hakuwa na msanii ATA mmoja, coverage ya media kwake ilikuwa ndogo, Ila alimkimbiza magu hatrBinafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Political opposition is here to stay despite of every effort put in to stop it. It is indispensable and unstoppable. Efforts to murder opposition are a catalyst to its perpetuation. Co-existence of the opposites is a natural social law of development. "Mama na CCM yake itabidi wakubaliane na ukweli huu. Ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!?"Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Bando limeanza kukata?Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!