Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Naye anataka kusifiwa kama vile alilazimishwa kuwa RaisPolitical opposition is here to stay despite of every effort put in to stop it. It is indispensable and unstoppable. Efforts to murder opposition are a catalyst to its perpetuation. Co-existence of the opposites is a natural social law of development. "Mama na CCM yake itabidi wakubaliane na ukweli huu. Ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!?"
Kelele za mwoga: "Mshikeni nitamuua".wafanye kazi wanatuletea makelele mtaani huku....huu ni muda wa kufanya kazi, waache watu wafanye kazi, 2025 watafanya hayo mambo yao...wakianza hizi siasa zao za mikutano nguvu kazi nyingi inapotelea huko na kuleta usumbufu kwa jamii mtaani..
Yule jamaa amewalaza njaa 6yrs sasa wanataka kutafuta namna ya kutumia ruzuku na fedha za wafadhili...
Mzee Mgaya katika ubora wake. Na hapa ndipo tofauti kubwa kati yako na akina Elitwege na mwenzake Etwege huonekana.Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Uko sahihi sana. Upinzani sio mtu wala chama ni ideology inayoishi mioyoni mwa watu. 1995, chama kikubwa cha upinzani kilikuwa ni NCCR Mageuzi chini ya Mrema. Kikafanyiwa figisu na kudumazwa. Ilipofika 2000 chama chenye nguvu kikawa ni CUF chini ya akina Lipumba, kikatungiwa madai ya ugaidi, kikadumazwa. Ibaibuka Chadema kunako 2010, maisha yanaendelea. Chadema ikidumazwa itaibuka ACT ama UDP na maisha ya upinzani yataendelea kama kawaida. Wanaowaza kuua upinzani wajitafakari sana.Political opposition is here to stay despite of every effort put in to stop it. It is indispensable and unstoppable. Efforts to murder opposition are a catalyst to its perpetuation. Co-existence of the opposites is a natural social law of development. "Mama na CCM yake itabidi wakubaliane na ukweli huu. Ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!?"
Njaa husababisha watu kuwa vinyonga.Msikilize Bashiru wa enzi zileee akiwa Mlimani.
Mkutano unaofanyikia mbeya unakuathiri vipi wewe uliepo nanja?wafanye kazi wanatuletea makelele mtaani huku....huu ni muda wa kufanya kazi, waache watu wafanye kazi, 2025 watafanya hayo mambo yao...wakianza hizi siasa zao za mikutano nguvu kazi nyingi inapotelea huko na kuleta usumbufu kwa jamii mtaani..
Yule jamaa amewalaza njaa 6yrs sasa wanataka kutafuta namna ya kutumia ruzuku na fedha za wafadhili...
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Aah wapi, Magufuli aliwafyatisha mikia mpaka wengine mikia imekuwa vilema hawawezi kuinyoosha tena!Kumbe? Lakini si wanaema hakuna mkubwa kuliko chama? Wanashondwaje kuwa outshine hao viongozi wao?
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hahahaaaa........ Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!Bwashee meza dawa zako dishi limetulia utadhani imeandikwa na wa ufipa ππππ kumbe wa lumumba!!! Ngoja sasa uache kunywa dawa zako π€£π€£π€£
Nafikiri statement sahihi hapa ni WATANZANIA WALISHAJIFIAGA...CCM ni chama cha siasa na lengo lake kuu ni kutawala na Mimi sioni kama wamefeli kwenye lengo Lao Hilo,na wanatawala comfortably, wananchi wako kama chura na Ng'ombe CCM maji anakunywa vizuri tuu...Kwa muktadha huo.. Failure sio CCM..Aliyefeli hapa anajijua sema hataki tuu kujikubali.Tatizo CCM ilishajifiaga hamna Chama nyie, na MaCCM wote mnalijua hilo,
Samia analinda tu teuzi zenu ,hakuna uchumi utajengwa na MaCCM baada ya kushindwa miaka zaidi ya 60. Tusichoshane.
Huruma iko kwa Mungu pekee!Kama unadhani atatokea kiongozi kupitia ccm atakaewaonea huruma wapinzani umepotoka sana.