Vyeti vyote vinatakiwa vionyeshe majina yanayofanana ili kuwa na uhakika. Mtego upo kwa ajiraportal nina imani kaingia kwa details za NIDA ambayo kamwe haiwezi kuwa na majina mawili, kwahiyo utumishi wanajua mtu mwenye majina matatu aliyeomba kazi. Sasa wewe unaleta vyeti vya NECTA na chuo vyenye majina mawili lazima uteketee.
Pia, Juma Mrisho Ngassa akija na cheti cha kuzaliwa kimeandikwa Juma Ngassa Mrisho wanaweza mkataa.
Mlengwa arasimishe jina la NIDA kwenye Deed Poll. Maana hilo kulibadili ni process ndefu.
Nashukuru kwa.maelezo.mazuri sana.Vyeti vyote vinatakiwa vionyeshe majina yanayofanana ili kuwa na uhakika. Mtego upo kwa ajiraportal nina imani kaingia kwa details za NIDA ambayo kamwe haiwezi kuwa na majina mawili, kwahiyo utumishi wanajua mtu mwenye majina matatu aliyeomba kazi. Sasa wewe unaleta vyeti vya NECTA na chuo vyenye majina mawili lazima uteketee.
Pia, Juma Mrisho Ngassa akija na cheti cha kuzaliwa kimeandikwa Juma Ngassa Mrisho wanaweza mkataa.
Mlengwa arasimishe jina la NIDA kwenye Deed Poll. Maana hilo kulibadili ni process ndefu.
Tofauti ya mishahara na marupurupu ya Halmashauri na Wizarani au Idara & Taasisi za Wizara sometimes ni mbingu na ardhi. Huyu anaweza kuwa monthly anapata total 1M, huyu anapata total 3M.Mishahara ya Halmashauri ina tofauti na ya wizarani ?
Angalau umenipa moyo bwashee.Tofauti ya mishahara na marupurupu ya Halmashauri na Wizarani au Idara & Taasisi za Wizara sometimes ni mbingu na ardhi. Huyu anaweza kuwa monthly anapata total 1M, huyu anapata total 3M.
Nakuuliza swali na unipe jibu. Kwenye ajiraportal wanakuita kwa majina mangapi? Na ulitumia ID gani kwenye kujisajiri ajiraportal.Nashukuru kwa.maelezo.mazuri sana.
Ila mie bado napata shida ,majina yote kwenye birth na vyeti vya chuo.yako sawa ,hakuna hata spelling error.
Shida ni kuwa Olevel na chuo nimetumia majina mawili kwa.maana ya jina langu la.kwanza na jina la.ukoo .
Je hiyo ni changamoto inayonihitaji kupata deepoll?
Nilitumia nida na ina majina matatuNakuuliza swali na unipe jibu. Kwenye ajiraportal wanakuita kwa majina mangapi? Na ulitumia ID gani kwenye kujisajiri ajiraportal.
Basi kila cheti chako kisome majina yaliyopo kwenye NIDA.Nilitumia nida na ina majina matatu
Nimekupata aiseee....Basi kila cheti chako kisome majina yaliyopo kwenye NIDA.
Juma Musa Zuberi
Juma Zuberi Musa
Juma Zuberi
Hao ni watu watatu tofauti kiserikali. Kama mmoja ndio anatafuta kazi, wawili wengine haiwahusu.
Kama kuzaliwa ni Juma Musa Zuberi na kuhitimu sekondari ni Juma Zuberi hao watu wawili mpaka atambulike ni mtu mmoja, Msajiri wa Ardhi tu ndio ana mamlaka ya kudhibitisha hilo. Na anatoa udhibitisho kwa Deed Poll ambayo itakana majina mengine yote.
Interview ni liniNimekupata aiseee....
Hapa sasa inabidi nianze kupambana na deedpoll.
Wenye ujuzi jinsi ya kuipata fasta ...msaada tutani.
June mwanzoni...Interview ni lini
Hii imekaa vizuri hapo kwangu nahisi ni Affidavit tu...Fuata hili Tangazo
Hivi affidavit si unaweza ukapata hata Kwa mawakili wa mtaani wenye muhiri(waliosajiriwa) au mpka mahakamani pekee?Hii imekaa vizuri hapo kwangu nahisi ni Affidavit tu...
Kichwa kilianza kuuma hapa kuanza kupambana na madeedpoll.
Hata kwa wakili tu na chap na haraka sanaHivi affidavit si unaweza ukapata hata Kwa mawakili wa mtaani wenye muhiri(waliosajiriwa) au mpka mahakamani pekee?
Nenda kabadilishe cheti cha kuzaliwa tuHabari zenu wakuu.
Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake.
Written interview aliingia na kufanya vizuri tu bilaa shida na mtihani alifaulu kwa marks za juu. Leo kaenda kufanya oral kazuiliwa kuingia na documents zake zote anazo.
Tumepiga simu Utumishi wamepokea, tumewapa scenario yote na wakaomba hayo majina yake then wakasema ngoja wafanye mawasiliano na wasimamizi wa kituo anachofanyia usaili, interview atafanya tu asiwe na shaka as long as ana kiapo chake(Affidavit).After. 5 minutes watampa go ahead.
Ila mpaka sasa simu hawapokei mara ipo busy! na usaili unakaribia kuisha baadhi ya candidates wameshatoka.
This is unfair na inaumiza sana.Najua humu kuna watu wamepitia challenge kama hii, mlifanya nini kupatta haki?
Ok. Sawa mkuu anafanya interview tarehe saba mpaka sasa kituo hakijaingizwa kwenye account yake zaidi ya namba ya interview siku nazo zimesogea hapo afanyeje?Jibu ni HATOFANYA, pigia mstari na ubold.
Labda anayekagua asiwe makini, yaani wafukuze wenye kozi zisizo zenyewe exact ila ajiraportal system imekubali, sembuse wabaki na wenye majina tofauti.
Leo ni Alhamisi, Deep Poll inatolewa na Msajiri wa Ardhi pale Magogoni Wizarani. Kwa kawaida inatumia wiki kadhaa au hata miezi, ila ukipata mtu wa ndani hasa Secretaries anakufanyia haraka kama una emergency (sio bure).
Ikitokea unaitaka uwezekano wa kuipata kwa siku mbili upo, ila Ijumaa ndio wanafanya kazi na mwisho kuingia ofisi zao ni saa saba na nusu hivi, Jumamosi sidhani, Jumatatu ndio unaweza pata in case ulikamilisha kuomba na kulipa Ijumaa.
Katika maombi ya kazi yote hakuna sehemu wanataka Affidavity, wanataka Deep Poll.
Point of correction.Jibu ni HATOFANYA, pigia mstari na ubold.
Labda anayekagua asiwe makini, yaani wafukuze wenye kozi zisizo zenyewe exact ila ajiraportal system imekubali, sembuse wabaki na wenye majina tofauti.
Leo ni Alhamisi, Deep Poll inatolewa na Msajiri wa Ardhi pale Magogoni Wizarani. Kwa kawaida inatumia wiki kadhaa au hata miezi, ila ukipata mtu wa ndani hasa Secretaries anakufanyia haraka kama una emergency (sio bure).
Ikitokea unaitaka uwezekano wa kuipata kwa siku mbili upo, ila Ijumaa ndio wanafanya kazi na mwisho kuingia ofisi zao ni saa saba na nusu hivi, Jumamosi sidhani, Jumatatu ndio unaweza pata in case ulikamilisha kuomba na kulipa Ijumaa.
Katika maombi ya kazi yote hakuna sehemu wanataka Affidavity, wanataka Deep Poll.
Wale jamaa wa Utumishi unawajua au unawasikia. Wengine huwa wanakuja kusimamia mtihani wakiwa hawajui sheria na taratibu ni kama wanataka kupunguza mapema kabisa.Point of correction.
E.g
Samu na Sam
Hapa ukienda na AVIDAVIT inakubalika mfano Rajab na Rajabu hapo ni AVIDAVIT inakubalika
Kama majina Yana tofauti kubwa na halipo kwenye CHETI deed poll eg. GAMALATE BUNGULU Sasa nataka nijiite ""NIKIFA MKE WANGU ASIOLEWE"" ama nijiite SITOSAHAU MATATIZO YANGU hapa ni deed poll
Ikifika tarehe 5 jioni bila kutajiwa kituo apige simu kuuliza. Mpaka sasa hawajachelewa kumwambia, last time walitangaza vituo kama 2 days before.Ok. Sawa mkuu anafanya interview tarehe saba mpaka sasa kituo hakijaingizwa kwenye account yake zaidi ya namba ya interview siku nazo zimesogea hapo afanyeje?
Hivi Da res salaam hawana ofisi ndogo za PSRSIkifika tarehe 5 jioni bila kutajiwa kituo apige simu kuuliza. Mpaka sasa hawajachelewa kumwambia, last time walitangaza vituo kama 2 days before.