Alpaslan
Member
- Oct 27, 2024
- 33
- 41
Vyeti vyote vinatakiwa vionyeshe majina yanayofanana ili kuwa na uhakika. Mtego upo kwa ajiraportal nina imani kaingia kwa details za NIDA ambayo kamwe haiwezi kuwa na majina mawili, kwahiyo utumishi wanajua mtu mwenye majina matatu aliyeomba kazi. Sasa wewe unaleta vyeti vya NECTA na chuo vyenye majina mawili lazima uteketee.
Pia, Juma Mrisho Ngassa akija na cheti cha kuzaliwa kimeandikwa Juma Ngassa Mrisho wanaweza mkataa.
Mlengwa arasimishe jina la NIDA kwenye Deed Poll. Maana hilo kulibadili ni process ndefu.
Nashukuru kwa.maelezo.mazuri sana.Vyeti vyote vinatakiwa vionyeshe majina yanayofanana ili kuwa na uhakika. Mtego upo kwa ajiraportal nina imani kaingia kwa details za NIDA ambayo kamwe haiwezi kuwa na majina mawili, kwahiyo utumishi wanajua mtu mwenye majina matatu aliyeomba kazi. Sasa wewe unaleta vyeti vya NECTA na chuo vyenye majina mawili lazima uteketee.
Pia, Juma Mrisho Ngassa akija na cheti cha kuzaliwa kimeandikwa Juma Ngassa Mrisho wanaweza mkataa.
Mlengwa arasimishe jina la NIDA kwenye Deed Poll. Maana hilo kulibadili ni process ndefu.
Ila mie bado napata shida ,majina yote kwenye birth na vyeti vya chuo.yako sawa ,hakuna hata spelling error.
Shida ni kuwa Olevel na chuo nimetumia majina mawili kwa.maana ya jina langu la.kwanza na jina la.ukoo .
Je hiyo ni changamoto inayonihitaji kupata deepoll?