Lengo letu moja mkuu. Japo tusisahau kwenye kundi la mamba kenge nao wapo. Pamoja na yote nakubaliana nawe kenge hao wasitufanye kuparurana menyewe kwa menyewe.
Ni muhimu sana kurejea kwenye drawing board:
1. Habari na propaganda ikikamatwa na aina ya Sarungi au kigogo wa zama zile, Lissu, Mwabukusi, Mdude, Slaa, Nshala au wa namma hiyo itapendeza sana.
2. Infiltration and espionage kama watufanyiao wao haiwezi kuwa halali kwao tu, lakini si kwetu.
Hawa mbona tunakula nao sahani moja japo wana dola na media zote zilizo chini yao?
Pamoja hawatuwezi. Lolote la kutuunganisha hawatatuachia kirahisi.
1. Habari na propaganda ikikamatwa na aina ya Sarungi au kigogo wa zama zile, Lissu, Mwabukusi, Mdude, Slaa, Nshala au wa namma hiyo itapendeza sana.
2. Infiltration and espionage kama watufanyiao wao haiwezi halali kwao lakini si kwetu.
Kuna kitu nimekiona kwa Vijana wetu hawapendi Habari ndeefu zinawaboa ni vizuri wawe wanawekewa segment za dakika tatu hadi tano ili ana clck anaangalia anahamia kwenye habari nyingine.
Sababu nyingine pia ni economy vijana wengi hawana uwezo wa kuangalia Live events kwenye online media hawana uwezo
Makongamano ya KATIBA MPYA yamepoa sana ilikuwa inatakiwa huku Mikutano huku Makongamano.

Kwenye drawing board hakujawahi kudanganya na hasa tukiamua maji kuyavulia nguo.
Jambo jingine kuu ambalo vijana wangependa kusikia ni vipi tuna wahami wahanga katika harakati hizi za mapambano.
Kushiriki harakati hakuwezi kudhaniwa kuwa ni kujichumia majanga.
Zipo familia za kina Lijenje, mawazo, na kina Ben. Nini sera zetu kuwahusu hao na hata wengine wetu wasiokuwa na majina?
Ni wazi kuwa habari na propaganda active na online muda wote, kutakuwa na habari fupi fupi zenye kuamsha ari.
Lissu au wawao wote 10 au 20 hawawezi kuipigania hii nchi peke yao kokote wawapo kuwa. Pamoja nao kwa habari na propaganda tunaweza kukomaa kivyetu vyetu kutokea tuliko.
Kama chama cha waongoza harakati hizi, na tuwe tayari kusikia hata yasiyopendeza masikioni kwa lengo la kujipanga vilivyo.