Kuzuiwa Lissu, habari na Propaganda CHADEMA mko wapi?

Hapa naona mikutano ya KISIASA izuiwe tena maana haina afya zaidi ya kuleta utengano na uadui.

Hivi ukiamua kufanya jambo la maendeleo wanakuja kupinga na kuhakikisha hakuna jambo zuri linafanyika ambalo litaleta sifa kwa Serikali.

Jambo la maendeleo haliwezi kuwa kwa shuruti bali kwa ushawishi.

Mikutano inazuiwa na sisi wenye nchi. Kuzuia Kwa nguvu za polisi ndiko huku Kwa wamasai wa ngorongoro:

Your browser is not able to display this video.


Mwambieni Mama Abduli, huku hakukubaliki duniani na hata akhera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…