Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja.

Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu
Yanga bado ina kitete cha kufungwa mechi mbili mfululizo hali ambayo imeleta fukuto kubwa kilabuni.. Kuna Moshi unafuka huko. Hakujatulia kabisa

Mechi ya leo itaamua hatima ya utulivu ama vurugu mpya kwa Mtani.. Kuna kila dalili mtani atatoa boko maana hata kocha wake mpya kwenye press conference hakuna na ujasiri kabisa

Facial expression yake ilijaa hofu, woga na kutojiamini na tayari ameshatanguliza utetezi kwamba hii ndio mechi yake ya kwanza ligi ya mabingwa

RAI YANGU
Kwa ustawi wa soka la Bongo Tanganyika kwa umoja wetu tukiweka upinzani wetu pembeni.. Tuiombee Yanga ushindi wowote.

Soma Pia: Young Africans SC vs Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Tofauti zetu ziwe za chumbani tuu.. Tukitoka sebuleni sisi ni wamoja

By the way mechi ya leo na uchaguzi wa serikali za mitaa kesho.. Matokeo yoyote yana maana kubwa sana kiroho
Mwisho kabisa tuepuke kabisa kutajataja maneno ya Nyuki wa Tabora mbele ya mashabiki na viongozi wa Yanga
1732531999041.png
 
Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Aly Ahly ya Misri ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja.

Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu
Yanga bado ina kitete cha kufungwa mechi mbili mfululizo hali ambayo imeleta fukuto kubwa kilabuni.. Kuna Moshi unafuka huko. Hakujatulia kabisa

Mechi ya leo itaamua hatima ya utulivu ama vurugu mpya kwa Mtani.. Kuna kila dalili mtani atatoa boko maana hata kocha wake mpya kwenye press conference hakuna na ujasiri kabisa

Facial expression yake ilijaa hofu, woga na kutojiamini na tayari ameshatanguliza utetezi kwamba hii ndio mechi yake ya kwanza ligi ya mabingwa

RAI YANGU
Kwa ustawi wa soka la Bongo Tanganyika kwa umoja wetu tukiweka upinzani wetu pembeni.. Tuiombee Yanga ushindi wowote..
Tofauti zetu ziwe za chumbani tuu.. Tukitoka sebuleni sisi ni wamoja

By the way mechi ya leo na uchaguzi wa serikali za mitaa kesho.. Matokeo yoyote yana maana kubwa sana kiroho
Mwisho kabisa tuepuke kabisa kutajataja maneno ya Nyuki wa Tabora mbele ya mashabiki na viongozi wa YangaView attachment 3161784
Yanga itacheza na Al Hilal ya Sudan na sio Al Ahly ya Misri
 
Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja.

Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu
Yanga bado ina kitete cha kufungwa mechi mbili mfululizo hali ambayo imeleta fukuto kubwa kilabuni.. Kuna Moshi unafuka huko. Hakujatulia kabisa

Mechi ya leo itaamua hatima ya utulivu ama vurugu mpya kwa Mtani.. Kuna kila dalili mtani atatoa boko maana hata kocha wake mpya kwenye press conference hakuna na ujasiri kabisa

Facial expression yake ilijaa hofu, woga na kutojiamini na tayari ameshatanguliza utetezi kwamba hii ndio mechi yake ya kwanza ligi ya mabingwa

RAI YANGU
Kwa ustawi wa soka la Bongo Tanganyika kwa umoja wetu tukiweka upinzani wetu pembeni.. Tuiombee Yanga ushindi wowote.

Soma Pia: Young Africans SC vs Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Tofauti zetu ziwe za chumbani tuu.. Tukitoka sebuleni sisi ni wamoja

By the way mechi ya leo na uchaguzi wa serikali za mitaa kesho.. Matokeo yoyote yana maana kubwa sana kiroho
Mwisho kabisa tuepuke kabisa kutajataja maneno ya Nyuki wa Tabora mbele ya mashabiki na viongozi wa YangaView attachment 3161784
Lolote liwakute japo hao vibonde mtawafunga
 
Back
Top Bottom