Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

Sawa👍👍👍👍, kimoyo moyo unatuombea mabaya.
 
Siwaombei mema vibaka.Nisamehewe.🙏
 
Wafe 2:1 inatosha
 
maombi muhimu kama haya yanapokelewaga na kujibiwa kwa haraka zaidi👊💪
 
Asante sana kwa maelezo yako haya,Mungu akupe furaha,amani na mafanikio maishani mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…