Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

Nikichekea chooni nitaitwa mnafiqueπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ˜‚
Hehehe mshana huo utakuwa ni unafiki we endelea kuomboleza nao tu.
 
Hehehe mshana huo utakuwa ni unafiki we endelea kuomboleza nao tu.
Dua zangu zimefeli.. But i did my part kuonesha uzalendo..! Sasa narudi kwenye ushabikiπŸ˜‚
 
Tatizo yanga na CCM huwezi kivitenganisha. Plus polisi wote wanafanana akili na mavazi.

Hongera sana kwa kutupigia hao chama cha kijani na njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…