Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen π
Mungu Ibariki Tanzania
Utapasuka wewe na mboga mboga wenzio. Cdm ni chama cha uma hakipekeshwi na KE, kama mboga mbogaNatazamia kuona CHADEMA ikiendelea kupasuka pasuka kama kioo kilichoangukia Lamini na kukanyagwa na magari.
Si ndio vizuri ikidhoofika ccm mshindane na misukule au unaonaje we kibangaHasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen π
Mungu Ibariki Tanzania
Yes,Msimamo ni ule ule no Reform no Election, Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na Tume mbovu ya uchaguzi iliyo chini ya TAMISEMI ambayo Kuanzia mwenyekiti hadi wajumbe wameteuliwa na Rais ambaye naye anagombea hapa ni mpaka tume huru ya Uchaguzi ipatikane na Katiba Bora ipatikane full stop
Uwe na subira utaona namna CHADEMA itakavyopasuka.Utapasuka wewe na mboga mboga wenzio. Cdm ni chama cha uma hakipekeshwi na KE, kama mboga mboga
vizuri zaidi ni angalau chadema inaweza kua nafasi ya 6 au 9 ambayo ni top ten.Si ndio vizuri ikidhoofika ccm mshindane na misukule au unaonaje we kibanga
Sasa hivi ameishiwa mbinu .alijua kabda uwenyekiti ni kupiga Domo na makelelena kinasambatatishwa vizuri sana na huyo kibaka na tapeli wa siasa ambae eti ndio kiongozi wao, dah!
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen π
Mungu Ibariki Tanzania
Uchaguzi wa mboga mboga watupu. Ni reform no election.uchaguzi huo mkuu wa kihistoria nchini Tanzania, utahusisha vyama zaid ya 20 vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu π
ccm itakuwa nafasi ya 20,ile ya kushuka daraja na kupotea kabisa kwenye ramaniHasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Huu uchaguzi bila mabadiliko ya sheria nendeni wenyewe CCM. Hizo namba hazina maana yeyote kama chaguzi bado polisi na usalama wanaiba kura. Ni mjinga tu ataenda kwenye chaguzi baada ya zile za serikali za mitaa mwaka 2024. No reform no election. Sasa kama hakuna reform Chadema hawatakuwepo wawe wa 10 au 20 wjo cares kama hawapo. Sheria zikiwekwa vizuri na chaguzi ziwe za haki hapo sasa tutakuwa na ushindani.
Ushauri wangu ni kwa CCM kuweka hayo mabadiliko muhimu maana uchaguzi bila hayo hakuna hapa nchi moja ya demokrasia itafikiria ni uchaguzi huru na wenye haki. Kwa manufaa ya taifa serikali na Raisi Samia aweke taifa mbele sio chama mbele. Haya ni mawazo yangu. Mkijidanganya na propaganda hazitasaidia baada ya hizo chaguzi tatu jamaa wana receipts 2019,2020 na 2024