Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania