Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Si ndio vizuri ikidhoofika ccm mshindane na misukule au unaonaje we kibanga
 
Msimamo ni ule ule no Reform no Election, Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na Tume mbovu ya uchaguzi iliyo chini ya TAMISEMI ambayo Kuanzia mwenyekiti hadi wajumbe wameteuliwa na Rais ambaye naye anagombea hapa ni mpaka tume huru ya Uchaguzi ipatikane na Katiba Bora ipatikane full stop
Yes,
ni muhimu sana kung'ang'ana hapo hapo kwenye agenda zisizo na tija ili walau muwepo top ten ya kisiasa baada ya uchaguzi mkuu, nafasi ya 6 au 9 ni nafasi muhimu zaidi kisiasa 🐒
 
Si ndio vizuri ikidhoofika ccm mshindane na misukule au unaonaje we kibanga
vizuri zaidi ni angalau chadema inaweza kua nafasi ya 6 au 9 ambayo ni top ten.

na hayo ndiyo madhara ya chama cha siasa kuongozwa na kibaka na tapeli wa siasa 🐒
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Huu uchaguzi bila mabadiliko ya sheria nendeni wenyewe CCM. Hizo namba hazina maana yeyote kama chaguzi bado polisi na usalama wanaiba kura. Ni mjinga tu ataenda kwenye chaguzi baada ya zile za serikali za mitaa mwaka 2024. No reform no election. Sasa kama hakuna reform Chadema hawatakuwepo wawe wa 10 au 20 wjo cares kama hawapo. Sheria zikiwekwa vizuri na chaguzi ziwe za haki hapo sasa tutakuwa na ushindani.

Ushauri wangu ni kwa CCM kuweka hayo mabadiliko muhimu maana uchaguzi bila hayo hakuna hapa nchi moja ya demokrasia itafikiria ni uchaguzi huru na wenye haki. Kwa manufaa ya taifa serikali na Raisi Samia aweke taifa mbele sio chama mbele. Haya ni mawazo yangu. Mkijidanganya na propaganda hazitasaidia baada ya hizo chaguzi tatu jamaa wana receipts 2019,2020 na 2024
 
ccm itakuwa nafasi ya 20,ile ya kushuka daraja na kupotea kabisa kwenye ramani
 
Huu uchaguzi bila mabadiliko ya sheria nendeni wenyewe CCM. Hizo namba hazina maana yeyote kama chaguzi bado polisi na usalama wanaiba kura. Ni mjinga tu ataenda kwenye chaguzi baada ya zile za serikali za mitaa mwaka 2024. No reform no election. Sasa kama hakuna reform Chadema hawatakuwepo wawe wa 10 au 20 wjo cares kama hawapo. Sheria zikiwekwa vizuri na chaguzi ziwe za haki hapo sasa tutakuwa na ushindani.

Ushauri wangu ni kwa CCM kuweka hayo mabadiliko muhimu maana uchaguzi bila hayo hakuna hapa nchi moja ya demokrasia itafikiria ni uchaguzi huru na wenye haki. Kwa manufaa ya taifa serikali na Raisi Samia aweke taifa mbele sio chama mbele. Haya ni mawazo yangu. Mkijidanganya na propaganda hazitasaidia baada ya hizo chaguzi tatu jamaa wana receipts 2019,2020 na 2024
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwasabb ya makelele, mayowe na midomo ya vibaka na matepeli wa siasa nchini.

Ni muhimu vibaka wanapuuzwa 🐒
 
Back
Top Bottom