Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alidhani chadema kuna pesa mingi sana,Sasa hivi ameishiwa mbinu .alijua kabda uwenyekiti ni kupiga Domo na makelele
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hiyo kwako ni furaha sana unaenda kwenye uchaguzi na unajua itashindwa? Refa ni ccm, mtangaza matokeo ni ccm. Jeshi ccm, polisi ccm. Kuna uchaguzi hapa?Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwasabb ya makelele, mayowe na midomo ya vibaka na matepeli wa siasa nchini.
Ni muhimu vibaka wanapuuzwa 🐒
Chadema haiwezi poteza mvutoHasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe tumekuzoea hujawa na jambo la kuisemea kwa uzuri hiyo chama Sasa niyaje unataka maoni ya wengine kuhusu hisia zako unazoziamini?Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sasa kama mtagombea na Chama kama chauma kwa nini usiwe na uhuru .ni uchaguzi mkuu muhimu sana wa kihistoria nchini, ambao utakua wa huru zaidi, wa haki zaidi na wa wazi mno, utakaofanyika mapema Oct 2025🐒
sasa gentleman,Wewe tumekuzoea hujawa na jambo la kuisemea kwa uzuri hiyo chama Sasa niyaje unataka maoni ya wengine kuhusu hisia zako unazoziamini?
Kama chama chako ccm kinajiamini waache DEd,DC,RC,Police wakipata 20% itakuwa miujiza..ccm Bila police ni sawa na dangu'ro Bila makahabakujipoteza
vyama zaidi ya 20 vitashiriki uchaguzi mkuu huo muhimu sana Tanzania, na ambavyo havitashiriki huenda itakua ni kwa sababu ya ukata na kukosa agenda 🐒Sasa kama mtagombea na Chama kama chauma kwa nini usiwe na uhuru .
Sasa huo uhuru tunataka tuuone Zanzibar kwenye Tume huru kama Mwenyi atatoboa kirahisi .
ACT waipelekeshe mputamputa CCM kule Zanzibar . Na baadhi ya Mikoa .
CCM itashinda kihuni lakini itakua ndio mwisho kabisa wake wa kuwa chama tawala .
Mama atastaafu na CCM yake hapa Tanganyika . Kama miaka mitatu amewataka watanganyika kwenye mioyo yao kwa kiasi hicho ni wazi kuwa miaka mitano ya uongozi wake itakua migumu sana na atakua amekimaliza chama cha mapinduzi.
Ni furaha kwake na marafiki zake na Machawa wake na Mafisadi lakini kwa Taifa nchi itakua imepoteza kabisa imani na watawala wa CCM .
Gentleman,Kama chama chako ccm kinajiamini waache DEd,DC,RC,Police wakipata 20% itakuwa miujiza..ccm Bila police ni sawa na dangu'ro Bila makahaba
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania utafanyika October 2025, utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.Kama hiyo ndiyo mistari ya CCM na mna kazania hivyo basi Lissu yuko sawa kwa mawazo yangu. No reform no election. Kama mkiamua kulazimisha uchaguzi fake endeleeni bila Chadema. Long-term mtakuja kugundua hayakuwa maamuzi mazuri kwa taifa. Hongera wazee wazalendo kama Warioba
Uchaguzi wa Tanzania utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kelele na mdomo wa wasio na agenda,Kwa hiyo kwako ni furaha sana unaenda kwenye uchaguzi na unajua itashindwa? Refa ni ccm, mtangaza matokeo ni ccm. Jeshi ccm, polisi ccm. Kuna uchaguzi hapa?