Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm itakuwa nafasi ya 20,ile ya kushuka daraja na kupotea kabisa kwenye ramani
epuka kupumbazwa na kutapeliwa na vibaka wa siasa eti usishiriki uchaguzi,

nawe utakua ni kibaka sasa 🐒
 
NO REFORM NO ELECTION.
imekuwa agenda ya propaganda za waimba pambio za kusifu na kuabudu.
 
Sasa hivi ameishiwa mbinu .alijua kabda uwenyekiti ni kupiga Domo na makelele
Alidhani chadema kuna pesa mingi sana,

kajikuta hakuna hata mia wala yeye mwenyewe hana hata mia mbovu mfukoni , akajikuta anaendeleza tabia mbaya ya kuomba omba kuchangiwa pesa tu maskini dah!,
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Kwa hiyo CCM ya kina lembrus mmeingiwa moyo wa huruma?
 
Kwa hiyo kwako ni furaha sana unaenda kwenye uchaguzi na unajua itashindwa? Refa ni ccm, mtangaza matokeo ni ccm. Jeshi ccm, polisi ccm. Kuna uchaguzi hapa?
 
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwasabb ya makelele, mayowe na midomo ya vibaka na matepeli wa siasa nchini.

Ni muhimu vibaka wanapuuzwa 🐒

Kama hiyo ndiyo mistari ya CCM na mna kazania hivyo basi Lissu yuko sawa kwa mawazo yangu. No reform no election. Kama mkiamua kulazimisha uchaguzi fake endeleeni bila Chadema. Long-term mtakuja kugundua hayakuwa maamuzi mazuri kwa taifa. Hongera wazee wazalendo kama Warioba
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema haiwezi poteza mvuto
 
Wewe tumekuzoea hujawa na jambo la kuisemea kwa uzuri hiyo chama Sasa niyaje unataka maoni ya wengine kuhusu hisia zako unazoziamini?
 
ni uchaguzi mkuu muhimu sana wa kihistoria nchini, ambao utakua wa huru zaidi, wa haki zaidi na wa wazi mno, utakaofanyika mapema Oct 2025🐒
Sasa kama mtagombea na Chama kama chauma kwa nini usiwe na uhuru .

Sasa huo uhuru tunataka tuuone Zanzibar kwenye Tume huru kama Mwenyi atatoboa kirahisi .

ACT waipelekeshe mputamputa CCM kule Zanzibar . Na baadhi ya Mikoa .

CCM itashinda kihuni lakini itakua ndio mwisho kabisa wake wa kuwa chama tawala .

Mama atastaafu na CCM yake hapa Tanganyika . Kama miaka mitatu amewataka watanganyika kwenye mioyo yao kwa kiasi hicho ni wazi kuwa miaka mitano ya uongozi wake itakua migumu sana na atakua amekimaliza chama cha mapinduzi.
Ni furaha kwake na marafiki zake na Machawa wake na Mafisadi lakini kwa Taifa nchi itakua imepoteza kabisa imani na watawala wa CCM .
 
Wewe tumekuzoea hujawa na jambo la kuisemea kwa uzuri hiyo chama Sasa niyaje unataka maoni ya wengine kuhusu hisia zako unazoziamini?
sasa gentleman,
ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi kuliko hoja mahususi mezani si ukae kimya tu,

halafu gentleman,
uwe JF kwasabb ya kumzoe mdau jukwaani?🐒
 
Sasa kama mtagombea na Chama kama chauma kwa nini usiwe na uhuru .

Sasa huo uhuru tunataka tuuone Zanzibar kwenye Tume huru kama Mwenyi atatoboa kirahisi .

ACT waipelekeshe mputamputa CCM kule Zanzibar . Na baadhi ya Mikoa .

CCM itashinda kihuni lakini itakua ndio mwisho kabisa wake wa kuwa chama tawala .

Mama atastaafu na CCM yake hapa Tanganyika . Kama miaka mitatu amewataka watanganyika kwenye mioyo yao kwa kiasi hicho ni wazi kuwa miaka mitano ya uongozi wake itakua migumu sana na atakua amekimaliza chama cha mapinduzi.
Ni furaha kwake na marafiki zake na Machawa wake na Mafisadi lakini kwa Taifa nchi itakua imepoteza kabisa imani na watawala wa CCM .
vyama zaidi ya 20 vitashiriki uchaguzi mkuu huo muhimu sana Tanzania, na ambavyo havitashiriki huenda itakua ni kwa sababu ya ukata na kukosa agenda 🐒
 
Kama chama chako ccm kinajiamini waache DEd,DC,RC,Police wakipata 20% itakuwa miujiza..ccm Bila police ni sawa na dangu'ro Bila makahaba
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania, ni October 2025. Vyama zaidi ya 20 vitashiriki uchaguzi huo muhimu sana katika historia ya Tanzania.

vyama vinavyoongozwa na vibaka na matapeli wa siasa, rukhsa kukwepa fedheha ya kushindwa uchaguzi huo 🐒
 
Kama hiyo ndiyo mistari ya CCM na mna kazania hivyo basi Lissu yuko sawa kwa mawazo yangu. No reform no election. Kama mkiamua kulazimisha uchaguzi fake endeleeni bila Chadema. Long-term mtakuja kugundua hayakuwa maamuzi mazuri kwa taifa. Hongera wazee wazalendo kama Warioba
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania utafanyika October 2025, utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

makelele, mdomo na agenda za hovyo za vibaka na matapeli wa kisiasa ni vizuri zikapuuzwa tu gentleman 🐒
 
Hivi nyie hamna kazi nyingine khaa mnachosha kwa kweli
wewe unayo gentleman?

mbona una mbwelambwela tu jukwaani na uvivu wako na huna hata hoja? 🐒
 
Kwa hiyo kwako ni furaha sana unaenda kwenye uchaguzi na unajua itashindwa? Refa ni ccm, mtangaza matokeo ni ccm. Jeshi ccm, polisi ccm. Kuna uchaguzi hapa?
Uchaguzi wa Tanzania utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kelele na mdomo wa wasio na agenda,

Furaha ya kila mtanzania ni kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025, kwa uhuru, uwazi na haki bila hadaa za vibaka na matapeli wa kisiasa🐒
 
Kwa hiyo CCM ya kina lembrus mmeingiwa moyo wa huruma?
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kumuonea mtu huruma 🐒
 
Back
Top Bottom