Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana kwamba furaha ya kila mtanzania ni kuibiwa?Uchaguzi wa Tanzania utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kelele na mdomo wa wasio na agenda,
Furaha ya kila mtanzania ni kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025, kwa uhuru, uwazi na haki bila hadaa za vibaka na matapeli wa kisiasa🐒
Haiwezekani hicho. Tupo wengi CCM tunaisappprt Chadema japo tupo CCM kinafiki lakini mioyo ipo CDM.Gentleman,
itapoteza uelekeo, ushawishi na dira 🐒
Kwani sheria na katiba kandamisi haibadiriki? Nguvu ya umma haiwezi badirisha katiba kwani? Au mmezoe ubwege na ukimwa wa watanzania kuobiwa kila mwaka kura mnadhani utakuwa endelevu? We are fed up now. We need reforms or else no electionUchaguzi wa Tanzania utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kelele na mdomo wa wasio na agenda,
Furaha ya kila mtanzania ni kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025, kwa uhuru, uwazi na haki bila hadaa za vibaka na matapeli wa kisiasa🐒
sheria zilishabadilishwa na kufanyiwa mabadiliko kama sehemu ya matokeo ya maridhiano kwa wakati muafaka,Kwani sheria na katiba kandamisi haibadiriki? Nguvu ya umma haiwezi badirisha katiba kwani? Au mmezoe ubwege na ukimwa wa watanzania kuobiwa kila mwaka kura mnadhani utakuwa endelevu? We are fed up now. We need reforms or else no election
Unaingizaje timu uwanjani huku ukijua refa ni miongoni mwao washabiki kindakindaki wa timu pinzani huku ukiwa na uhakika atawapendelea timu pinzani? Wewe huenda ni mtoto mdogo kuanzia 2005 ulipoanza uchaguzi wa vyama vingi CCM imekuwa ikifanya usanii ili kushinda. Sasa imetosha. Tupo tayari kufia haki. Uchaguzi lazima uwe huru na haki, unyonge basi. Hatutomuogopa mtu.Gentleman,
haiwezekani vipi na inajipanga kususia uchaguzi mkuu kinyume na misingi ya kuanzishwa kwake?🐒
Uchaguzi huru na wakinhauwesekani kwa mazingira haya. Msimamzi ni mkurugenzi ambaye ni presidential appointee na mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na rais hivyo hakuna uvhaguzi huru hapa ni maigozo tusheria zilishabadilishwa na kufanyiwa mabadiliko kama sehemu ya matokeo ya maridhiano kwa wakati muafaka,
Na kama taifa,
focus sasa ni kujiandaa na uchaguzi huru, wa haki na wa wazi.
Kuskiza porojo za vibaka na matepeli wa siasa nchini ni kupoteza haki ya msingi ya kupiga kura 🐒
Hoja hamna kabisa yaani we ni Njaa,kutojitambua,usiejali,mfia chama hata kama mlima kwako ni tambarale! Duuh.Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ukizungumzia katiba mpya,nitakuona unajua mabadiliko na Ephen utamuoa kwa chereko!Natazamia kuona CHADEMA ikiendelea kupasuka pasuka kama kioo kilichoangukia Lamini na kukanyagwa na magari.
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kumuonea mtu huruma 🐒
Hata Bibi yangu hakusoma,nikigombea lazima aweke dole gumbs kwangu! Mkurugenzi kateuliwa na Raisi,gari kapewa ,nyumba,posho za vikao,eti aseme Raisi kashindwa, shamba hana atakula wapi,?Uchaguzi huru na wakinhauwesekani kwa mazingira haya. Msimamzi ni mkurugenzi ambaye ni presidential appointee na mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na rais hivyo hakuna uvhaguzi huru hapa ni maigozo tu
Vp ikiwa ya 19 kabisa we unaonaje kibangavizuri zaidi ni angalau chadema inaweza kua nafasi ya 6 au 9 ambayo ni top ten.
na hayo ndiyo madhara ya chama cha siasa kuongozwa na kibaka na tapeli wa siasa 🐒
Mahama wa GHANA kashinda uchaguzi japokua mwenyekiti wa Tume alichaguliwa na Rais aliopita.Acha ujinga kijana kama una uwezo wa kuzuia uchaguzi kwann usiwe na uwezo wa kushinda uchaguzi kwa hali yoyote ile?Msimamo ni ule ule no Reform no Election, Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na Tume mbovu ya uchaguzi iliyo chini ya TAMISEMI ambayo Kuanzia mwenyekiti hadi wajumbe wameteuliwa na Rais ambaye naye anagombea hapa ni mpaka tume huru ya Uchaguzi ipatikane na Katiba Bora ipatikane full stop
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mahama wa GHANA kashinda uchaguzi japokua mwenyekiti wa Tume alichaguliwa na Rais aliopita.Acha ujinga kijana kama una uwezo wa kuzuia uchaguzi kwann usiwe na uwezo wa kushinda uchaguzi kwa hali yoyote ile?
Yes,
ni muhimu sana kung'ang'ana hapo hapo kwenye agenda zisizo na tija ili walau muwepo top ten ya kisiasa baada ya uchaguzi mkuu, nafasi ya 6 au 9 ni nafasi muhimu zaidi kisiasa 🐒
Potelea mbali kuliko kwenda kushindana na mtu mlaghai na mwiziHasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.
Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.
Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒
Mungu Ibariki Tanzania