Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi wa Tanzania utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kelele na mdomo wa wasio na agenda,

Furaha ya kila mtanzania ni kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025, kwa uhuru, uwazi na haki bila hadaa za vibaka na matapeli wa kisiasa🐒
Una maana kwamba furaha ya kila mtanzania ni kuibiwa?
 
Kwani sheria na katiba kandamisi haibadiriki? Nguvu ya umma haiwezi badirisha katiba kwani? Au mmezoe ubwege na ukimwa wa watanzania kuobiwa kila mwaka kura mnadhani utakuwa endelevu? We are fed up now. We need reforms or else no election
 
Haiwezekani hicho. Tupo wengi CCM tunaisappprt Chadema japo tu[o CCM kinafiki ;akini mioyo ipo CDM.
Gentleman,
haiwezekani vipi na inajipanga kususia uchaguzi mkuu kinyume na misingi ya kuanzishwa kwake?🐒
 
Kwani sheria na katiba kandamisi haibadiriki? Nguvu ya umma haiwezi badirisha katiba kwani? Au mmezoe ubwege na ukimwa wa watanzania kuobiwa kila mwaka kura mnadhani utakuwa endelevu? We are fed up now. We need reforms or else no election
sheria zilishabadilishwa na kufanyiwa mabadiliko kama sehemu ya matokeo ya maridhiano kwa wakati muafaka,

Na kama taifa,
focus sasa ni kujiandaa na uchaguzi huru, wa haki na wa wazi.
Kuskiza porojo za vibaka na matepeli wa siasa nchini ni kupoteza haki ya msingi ya kupiga kura 🐒
 
Una maana kwamba furaha ya kila mtanzania ni kuibiwa?
Gentleman,
ni mazuzu katika siasa pekee, hujiandaa kuibiwa kura katika chaguzi za kidemokrasia badala ya kujipanga kushinda uchaguzi 🐒
 
NO reform no election inatesa watu mtaani. Kama chadema itafanikiwa kuulinda msimamo wake na tamaa za wachache, madhara yake ni makubwa ambayo watawala wenyewe watanyooka!!

Hakuna haja ya kwenda kuua watu kisa tu uchaguzi. Wenye vyeo vyao waendelee bila hata kupoteza fedha za kwa shughuli za uchaguzi!!
Yaani madiwani, wabunge na raisi tubaki nao ili kazi ziendelee!!

Kama kugombea kitongoji/mtaa au Kijiji watu wamekufa, udiwani na ubunge itakuwaje?

Kwa wema kabisa tusiwe na uchaguzi, mpaka awamu hii iishe pengine atakayekuja mwingine na G5 badala ya 4R za mdomoni
 
Gentleman,
haiwezekani vipi na inajipanga kususia uchaguzi mkuu kinyume na misingi ya kuanzishwa kwake?🐒
Unaingizaje timu uwanjani huku ukijua refa ni miongoni mwao washabiki kindakindaki wa timu pinzani huku ukiwa na uhakika atawapendelea timu pinzani? Wewe huenda ni mtoto mdogo kuanzia 2005 ulipoanza uchaguzi wa vyama vingi CCM imekuwa ikifanya usanii ili kushinda. Sasa imetosha. Tupo tayari kufia haki. Uchaguzi lazima uwe huru na haki, unyonge basi. Hatutomuogopa mtu.
 
sheria zilishabadilishwa na kufanyiwa mabadiliko kama sehemu ya matokeo ya maridhiano kwa wakati muafaka,

Na kama taifa,
focus sasa ni kujiandaa na uchaguzi huru, wa haki na wa wazi.
Kuskiza porojo za vibaka na matepeli wa siasa nchini ni kupoteza haki ya msingi ya kupiga kura 🐒
Uchaguzi huru na wakinhauwesekani kwa mazingira haya. Msimamzi ni mkurugenzi ambaye ni presidential appointee na mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na rais hivyo hakuna uvhaguzi huru hapa ni maigozo tu
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hoja hamna kabisa yaani we ni Njaa,kutojitambua,usiejali,mfia chama hata kama mlima kwako ni tambarale! Duuh.
 
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania unafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kumuonea mtu huruma 🐒

Kwa hiyo upinzani ungekuwa serikali CCM mngeridhika na uchaguzi na tume hii?
 
Uchaguzi huru na wakinhauwesekani kwa mazingira haya. Msimamzi ni mkurugenzi ambaye ni presidential appointee na mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na rais hivyo hakuna uvhaguzi huru hapa ni maigozo tu
Hata Bibi yangu hakusoma,nikigombea lazima aweke dole gumbs kwangu! Mkurugenzi kateuliwa na Raisi,gari kapewa ,nyumba,posho za vikao,eti aseme Raisi kashindwa, shamba hana atakula wapi,?
 
Msimamo ni ule ule no Reform no Election, Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na Tume mbovu ya uchaguzi iliyo chini ya TAMISEMI ambayo Kuanzia mwenyekiti hadi wajumbe wameteuliwa na Rais ambaye naye anagombea hapa ni mpaka tume huru ya Uchaguzi ipatikane na Katiba Bora ipatikane full stop
Mahama wa GHANA kashinda uchaguzi japokua mwenyekiti wa Tume alichaguliwa na Rais aliopita.Acha ujinga kijana kama una uwezo wa kuzuia uchaguzi kwann usiwe na uwezo wa kushinda uchaguzi kwa hali yoyote ile?
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Tatizo la makada wa CCM wanashinda kuongelea Chadema na kufanya hivyo Chadema inakuwa mashuhuri kuliko CCM hasa kwenye mitandao. Huo ndiyo ukweli
 
Ghana na Tanzania ni tofauti mkuu
Mahama wa GHANA kashinda uchaguzi japokua mwenyekiti wa Tume alichaguliwa na Rais aliopita.Acha ujinga kijana kama una uwezo wa kuzuia uchaguzi kwann usiwe na uwezo wa kushinda uchaguzi kwa hali yoyote ile?
 
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa mbele wa siasa za upinzani nchini.

Kuna uwezekano pia kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema kujitenga harakati hizo zisizo na maana za mwenyekiti mpya na pengine wengine wakajiengua kabisa na chama hicho kilichopoteza mvuto kwa wanachama wake.

Una mtazamo gani katika hilo my friends, ladies gentlemen 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Potelea mbali kuliko kwenda kushindana na mtu mlaghai na mwizi
 
Back
Top Bottom