Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
acha mihemko na kuwadhihaki wananchi gentleman, jitahid kua mstaarabu kidogo na kuheshimu mawazo ya wazee kwa kijana wao
Nasema hivi, hii nchi inategemea vijana sio wazee. Hao wazee waiteni huko ccm wawashauri muache wizi wa kura, na kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Kitendo cha Lisu kutangaza kugombea, naona kimewavuruga majizi vibaya.
 
Mental are real. Alivoshinda kipondi kile wewe bado ulikuwa kwenu wete bado?
 
Mental are real. Alivoshinda kipondi kile wewe bado ulikuwa kwenu wete bado?
alitoka nduki aisee,
zile mbio zijawahi kuziona mahali, wakati anakimbilia ubalozini dah
 
Atapata vipi tume ya uchaguzi ya vegetables😹😹
alaaa alaa alaaa kumbe upo tsasa tasaahhhhtassssa

hujambo mama,
shalom...
mama angu yuko wap aisee

ni kwamba wasingida wamesha mkatia tamaa bana,
halafu chadema anatakiwa Dr.slaa ndie awe mgombea urais, kwahuyo huyu muungwana ndio huvyo tena atakaewa mapema sana au siku ya mwisho ili akose cha kufanya, inasikitisha sana but ndiyo siasa ilivyo
 
Sijambo baba mtumishi, mama yako yupo Joannah unaitwa na baba mtumishi.!!

Hamna lolote zipigwe kura za uwazi muone km mtatoboa.!! Nyie bila poli CCM na walimu kuwasaidia kwenye ballot box hamtoboi
 
Nasema hivi, hii nchi inategemea vijana sio wazee. Hao wazee waiteni huko ccm wawashauri muache wizi wa kura, na kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Kitendo cha Lisu kutangaza kugombea, naona kimewavuruga majizi vibaya.
mim nimetekeleza wajibu wangu kukuandaa kisaikolojia kilipokea hilo miongoni mwa mambo mazito sana kisiasa
 
Sijambo baba mtumishi, mama yako yupo Joannah unaitwa na baba mtumishi.!!

Hamna lolote zipigwe kura za uwazi muone km mtatoboa.!! Nyie bila poli CCM na walimu kuwasaidia kwenye ballot box hamtoboi
nadhani ni muhimu zaidi labda ikafanyika poll ya kuwapima Dr.Salaa na Lisu nani ana nguvu licha ya kwamba mbowe ana nguvu zaidi yao wote, lakini amejitenga kujihusisha na maandalizi ya mapema ya kugombea nafasi ya urais 2025 kupitia chadema, hata hivyo mambo yananweza kua tofauti huko mbeleni...

uchaguzi ule wa jumla utakua na matokeo ya fedheha sana kwa mgombea yeyote wa upinzani
 
If wishes were horses......
 
mshangao ataupata yeye atakapofyekelewa mbali na chadema kuhusu nafasi ya kugombea uraisi kuputia chama hicho, mbona atafurah
SIo chadema ni ccm anaweza kupewa na wakuu chadema imekufaga kabisa kama lema ana andika msalimie Yesu , si ukichaa umetawala
 
Hivi kuandika magazeti huchoki? 🤣🤣
Huwezi amini hata sijasoma
 
kwan umelazimishwa gentleman ebooh

sasa unakuja kumbwelambwela na kubabaika nini na huelewe kitu mahususi ndani ya mjadala, umeanza umbea sio
Kila ninapoona jina lako moja kwa moja najuwa hapo pamejaa takataka. Sihitaji tena kupoteza muda kusoma takataka. Na unajuwa nilisha weka ahadi. Sikuachii uendele kuweka uchafu.

Umeelewa?
 
Hivi kuandika magazeti huchoki? 🤣🤣
Huwezi amini hata sijasoma
hapakufai eneo hili mtumishi,
mimi naamini Mungu pekee...

ni kwa Neema na Baraka za Mungu naweza kufanya yote haya kwa moyo na nguvu sana,

tafakari,
ikiwa kuandika tu nakuchosha hivi, je kuhubiri kwa kusema na kuongea kuna mtu atachomoka kweli?
 
Kila ninapoona jina lako moja kwa moja najuwa hapo pamejaa takataka. Sihitaji tena kupoteza muda kusoma takataka. Na unajuwa nilisha weka ahadi. Sikuachii uendele kuweka uchafu.

Umeelewa?
unababaika gentleman na huna ideas
 
Umeanza kunyooka, hata kama hujitambui kuwa na mabadiliko hayo. Jikaze hivyo hivyo, mradi mkono uende kinywani.
namalizia kurudia kuskiza hotuba ya mbowe mara ya6, kuhusu utekaji ili nije na detailed informations kwenye bandiko lijalo saa3:30 usiku huu, stay tuned, usiondoke
 
namalizia kurudia kuskiza hotuba ya mbowe mara ya6, kuhusu utekaji ili nije na detailed informations kwenye bandiko lijalo saa3:30 usiku huu, stay tuned, usiondoke
Ili iweje. Mkapange mikakati ya utekaji mwingine?
Hata hivyo 'Chura Kiziwi' kisha waonya. Hataki kuwa Magufuli wa kike.
Mnajipendekeza kwake ili muendelee kunufaika, kumbe mnamharibia sifa yake!
 
Unahoja mkuu.... Usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…