Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Ukiona unamponda Tundu Lissu ni kwamba amewashika pabaya.
Mbona hamuongelei Hashim Rungwe?
 
Simba....

Hili jina la Simba asiyetulia limemsawili sana ndg.TL....

SWOC analysis kipengele cha WEAKNESS kubwa ya mheshimiwa ni kuwa ana GRANDIOSITY....GRANDEUR DELUSION....

TL hawezi kubadilika.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
nadhani muhimu zaidi ni kuelewa kwamba muungwana Lisu singida hawezi kushinda hata ubunge, lakini muhimu sana chairman wa Chadema hawezi mpatia huyu muungwana fursa ya kugombea urasi kupitia Chadema badala yake atapewa fursa hiyo Dr slaa 🐒

mengine nadhani ni story for other day
 
Huna ubobevu wowote wewe ni chawa kama chawa wengine unaganga njaa yako tu humu na vihabari vya kuokoteza unawajadili watu ambao hata huwajui, kwa maandishi yako hata humjui Tundu Lissu ni nani, ameifanyia nini nchi hii na ameitumiaje taaluma yake kusaidia watu walioonewa, Kazungumze huu utopolo wako kwa Wakurya wa Nyamongo kama hawajakupasua kichwa, Wewe ni chawa tu unayejaribu kupata fursa kwa watawala si zaidi ya hapo.
tuliza mihemko ili twende sawa,

mimi nimetoa toa matokeo ya utafiti ambao umezalisha hoja mahususi mezani kwamba vyovyote itakavyokua muungwana Lisu akikubali ushauri wa wazee wa singida ati agombee ubunge atashindwa vibaya mno...

na zaidi ya hapo,
pale chadema, huyu muungwana Lisu hana nafasi kabisa ya kupewa fursa ya kugombea urasi kupitia Chadema..

nimeuona niliseme hili mapema ili isijekuleta taharuki wakati muafaka.

Infact,
nimewaandaa kisaikolojia tu kitaalamu zaidi

ignore for own risk 🐒
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Nonsense
 
Kwa sisi tunaojua ukweli yote uliyoandika ni uongo ulioongozwa na chuki zako kwa Lissu na upinzani kwa ujumla wake, hakuna research umefanya zaidi ya hisia na uchawa wako tu. Hili siyo jukwaa la watoto wadogo.
 
Mkuu, acha kuzunguka zunguka! We una chuki na wapinzani wote wa Tanzania hii. Thread zako zote hapa JF, ni kusifia CCM na serikali yake, na kuponda upande wa pili.
Na sina shaka, zile Bk7/7 unazikusanya sana!
no gentleman,

infact mimi ni mpinzani,
ambae ni mfuasi mkubwa sana wa vibrant, united and visionary opposition with impacts that touches the lives of common mwananchi..

na by the way,
sina muda hata kidogo kusifia CCM au kukosoa upinzan bali kuibua mambo mazito mazito ambayo yanaweza kuimarisha utendaji wa vyama vya kisiasa nchini kwa ustawi wa Demokrasia yetu imara sana ya vyama vingi nchini...

hicho ndicho mbobevu makusudi kufanya na ninaona mambo yanakwenda vizuri, kweli si kweli?🐒
 
lion-roaring-blue-sky-background-600nw-2026390793.jpg
TUNDU LISSU.
 
Ni kweli kwa sababu hajawai kua mbunge!!
ni muhimu zaidi kuzingatia nyakati tunaelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao, muungwana kiongozi muandamizi wa chadema akigombea kule singida hawezi pata,

shida kubwa zaidi ni kwamba,
hata pale chadema hana kabisa nafasi ya kupewa fursa ya kugombea urasi kupitia Chadema,
ni Dr slaa ndie 🐒
 
nadhani muhimu zaidi ni kuelewa kwamba muungwana Lisu singida hawezi kushinda hata ubunge, lakini muhimu sana chairman wa Chadema hawezi mpatia huyu muungwana fursa ya kugombea urasi kupitia Chadema badala yake atapewa fursa hiyo Dr slaa 🐒
Hakuna research umefanya wewe umeandika utoto tu ulioongozwa na chuki kwa Lissu na upinzani . Lissu amekuwa Mbunge kwa vipindi viwili hadi pale Magufuli alipoamua auwawe kwa kupigwa risasi jambo ambalo halikufanikiwa. Uliyoandika yote ni upupu tu unaongozwa na njaa na uchawa wako.
 
Na ukishaona mtu anajisifia oh eti amebobea kwenye tafiti halafu ukisoma mada zake haziakisi ukweli zaidi ya mitizamo ya njaa yake tu unajua kabisa kuwa huo ni msukule tu. Kazi zako unazozifanya ndiyo pekee zinaweza kukutambulisha wewe ni nani na siyo majigambo ya ubobevu uchwara.
sio vizuri kumpotosha mwenzako gentleman,

suala sio kuakisi, haya ni mambo halisi kabisa..

na actually,
hii kazi ya siasa ndio imenitambulisha hata humu JF, achilia mbali dhamana nzito na muhimu sana ya wananchi niliyoishikilia, bila kua mbobevu ni ngumu sana 🐒
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Unajiabisha sana Mkuu hizi porojo kapeleke vijijini huko .
Watu wanapotea
Watu wanafukuzwa maeneo yao
Bandari zinauzwa
Tozo ambazo matumizi yake hayaeleweki
Pangua pangua iii kila aliye karibu na utawala apate ulaji.
Huduma za kibinadamu zimekuwa mbovu
Halafu na wewe unamzungumzia Lissu mbona unateseka sana ?
Matatizo ni mengi kuliko hata utatuzi wake.
 
Wote wanaomtaja taja hivi atakuwa amewashika pabaya kweri kweri.

Lissu afunguka Rais Samia kumpa simba jina lake

Zingatia katajwa rasmi Kizimkazi x 2 katika siku 2 mfululizo.

Siyo bure!
actually,
ni faida sana kwake na hasa ukizingatia ni hodari wa kuomba omba, hii itamsaidia kupata michango mingi zaidi kutoka kwa watu wengi zaidi,

ila watu wa singida wanaona aibu kwa ndugu yao kujulikana kwasabb ya kuomba omba,
wamesema hata akija kugombea ubunge hawatampa,

lakini pia chadema nafasi ya kugombea urasi tuseme tu hana kabisa 🐒
 
Hukuwahi kusikia ule usemi aisifiye mvua?

Tafuta kwa mama Abuduli kulikoni huyo mwamba kutomkauka mdomoni?
kwamba wanaomsifia Dr.Samia Suluhu Hassan sana, wamekua kero kwa wasiopenda maendeleo right?🐒
 
Ukiona unamponda Tundu Lissu ni kwamba amewashika pabaya.
Mbona hamuongelei Hashim Rungwe?
acha upotoshaji, umeona wapi kwa mfano wew, ati ukiona 🤣

Mzee wa ubwabwa is the story for other day gentleman 🐒
 
Kwa sisi tunaojua ukweli yote uliyoandika ni uongo ulioongozwa na chuki zako kwa Lissu na upinzani kwa ujumla wake, hakuna research umefanya zaidi ya hisia na uchawa wako tu. Hili siyo jukwaa la watoto wadogo.
sasa si uandike ukweli bila mihemko gentleman na ufanye utafiti wako na wewe,

ili tujue atashinda ubunge ama la,
Chadema Urais atapigwa chini ama la🐒
 
mwerevu na timamu wa akili angekuja na mawazo mapya na fikra mbadala za maana dhidi ya hoja ya msingi mezani....

hii kumbwelambwela, kulalamika na kulaumu ukweli kuwekwa wazi ni muendelezo wa tabia kama za huyo muungwana kiongozi tu, unatia huruma ili iweje?

akagombee huo ubunge tuone kama atashinda?🤣

chairman haiwez kumpa nafasi huyo muungwana awe mgombea urasi wa Chadema ng'oo 🐒
Kama hujawahi kuambiwa, ni budi tukueleze ukweli.

Wewe ni low IQ. Kwa sababu huna reasoning ability, unahangaika kuweka upuuzi wa kila aina ili tu urushiwe hivyo vielfu kumi kumi upate kuishi. Ufahamu kuwa, hakuna mtu mwenye hata average IQ ambaye anaweza kukubali kuwa chawa. Kuwa chawa inamaanisha huna njia nyingine ya kuishi zaidi ya kutafuta watu wa kukurushia hivyo vielefu kumi kumi kwa gharama ya kudhalilisha utu wako. Ungekuwa japo na akili kidogo, kabla hujaleta hii mada dhaifu, ungejiuliza:

1) Kama unayotaka kuyaandika, ni habari au hisia?

2) Kama ni habari, chanzo cha habari ni nini?

3) Kama ni hisia, je, hisia zimejengwa kwa misingi ya kisayansi kwa kuzingatia matokeo ya utafiti wowote?

3) Kama ni matamanio yako, je, matamanio hayo yana backup yoyote kama vile historia na matokeo ya tafiti za karibuni, etc? Au ni matamanio hewa?

4) Kama ni matamanio hewa, unaowapelekea wana akili kidogo kama wewe kiasi cha kuwafanta waamini kuwa matamanio yako ndiyo ihalisia?

Kwa kuwa haya yote hukujiuliza, basi ni dhahiri, IQ yako ipo below average low.
 
Back
Top Bottom