Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #81
kama kusema ukweli ni kujiabisha basi nadhani nitafanya bidii zaidi ili niabike sana...Unajiabisha sana Mkuu hizi porojo kapeleke vijijini huko .
Watu wanapotea
Watu wanafukuzwa maeneo yao
Bandari zinauzwa
Tozo ambazo matumizi yake hayaeleweki
Pangua pangua iii kila aliye karibu na utawala apate ulaji.
Huduma za kibinadamu zimekuwa mbovu
Halafu na wewe unamzungumzia Lissu mbona unateseka sana ?
Matatizo ni mengi kuliko hata utatuzi wake.
by the way,
ulichoandika hakina uhusiano hata kidogo na Lisu kukataliwa singida na kupigwa chini kugombea urasi kupitia Chadema 🐒