Kwa aina ya ukamataji wa jeshi la polisi Tanzania, ni wazi wanakaribisha vitendo vya kiharifu nchini

Hawa police wa TZ miyeyusho sana aisee... Wajifunze kutoka nchi za nje huko wenzao wanavyo operate kwenye kukamata mtu wa kawaida asiye na siraha (unarmed) ni tofauti na armed people. Ila bongo mtu una kosa la kuzurura tu usiku unakamatwa kama jambazi ambae ni "Most Wanted"
 
Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.

"Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitoa itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.

#MyTake:
Ikiwa haya aliyoyasema Baba Askofu Pisa ni ya kweli, ina maana Polisi wamedanganya. Sasa je wamedanganya kwa faida ya nani? Na kwa lengo gani? Hivi Muliro anaijua Novena Mtakatifu Rita wa Kashia kweli?
FB_IMG_1746383090398.jpg
 
Mmeona comment za raia kwenye ukurasa wa bbc baada ya kuripoti tukio la kuuliwa kwa .maaskari wa kenya na alshabab?.... nimeamini polisi hawapendwi beyond control
 
kwa tukio la April 24 ambalo Murilo alikana kuwakamata wananchi mbele ya mahakama, basi ni wazi kabisa kuna vibaka wanavaa nguo za jeshi la polisi na vitambulisho arafu wanashughulikia wananchi
Ile ni ajabu sana.

Kwamba polisi wamekuja mahakamani wakiwa na sare za polisi, magari ya polisi, bunduki, farasi, mbwa, pingu, nk, Wakakamata watu, wakawaingiza kwenye magari na kuondoka nao, halafu baadaye muliro anasema wale siyo polisi !!!!

Ingefaa muliro aeleze umma kuwa wale wahanga walitakiwa kufanya nini ili kujua kama wale wakamataji ndani ya eneo la mahakama ni majambazi.

Muda wote ndani ya eneo la mahakama huwa kuna askari polisi, askari magereza, mawakili na watumishi wengine wa serikali, ilikuwaje mchana kweupe wakawepo majambazi wengi wenye uniform za polisi mahakamani, wakiwa na vitendea kazi vya polisi bila kujulikana?!!

Na kama amedanganya umma kwanini bado hajawajibishwa?
 
Hawa police wa TZ miyeyusho sana aisee... Wajifunze kutoka nchi za nje huko wenzao wanavyo operate kwenye kukamata mtu wa kawaida asiye na siraha (unarmed) ni tofauti na armed people. Ila bongo mtu una kosa la kuzurura tu usiku unakamatwa kama jambazi ambae ni "Most Wanted"
Hii ni hatari sana, matokeo yake wanakuja kukana sio wao, je kama si kukundi cha uhalifu kilicho ndani ya jeshi la police ni nini?
 
Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.

"Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitoa itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.

#MyTake:
Ikiwa haya aliyoyasema Baba Askofu Pisa ni ya kweli, ina maana Polisi wamedanganya. Sasa je wamedanganya kwa faida ya nani? Na kwa lengo gani? Hivi Muliro anaijua Novena Mtakatifu Rita wa Kashia kweli?

View attachment 3324772

Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.

"Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitoa itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.

#MyTake:
Ikiwa haya aliyoyasema Baba Askofu Pisa ni ya kweli, ina maana Polisi wamedanganya. Sasa je wamedanganya kwa faida ya nani? Na kwa lengo gani? Hivi Muliro anaijua Novena Mtakatifu Rita wa Kashia kweli?View attachment 3324772
Ukiconnect dots , utagundua kuwa pengine Muliro alikuwa connected na muharifu aliyepanga kumdhuru askofu kitima, nadhan huyu wakimfatilia kisaikolojia watapata vitu chanya
 
Ukifikiria vizuri, utagundua kuna siku wataingia kwenye 18 za wanachi , kama wale jamaa wa TRA pale tegeta, haina afya kabisa hii design ya ukamataji
Nimesahau matumizi ya rungu, panga, nyengo, shoka na okapi
 
Back
Top Bottom