mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali zake zilikuwa na ulakini basiubabe ubabe tu, ilikuwa ukienda ofisini kwake na jiwe akikupa ofa ukaikataa ukiondoka anatuma vijana wake wanakupora hilo jiwe na huna pa kwenda, askari wote wakubwa arusha na manyara walikuwa mfukoni mwake, kwa uchache tu ila kuna mengine mengi sana ya kuogofya sana.
"Walakin mkubwa, hata kuuwawa kwake ilikuwa ni majibu ya dhuluma dhidi ya wenzake, kimsingi walikuwa wanatafutana, jamaa walimuwai tu.[/QUOTE]Mali yoyote kama ilipatikana kwa dhuluma,magumashi haitokaa kabisa"E="mrangi, post: 48645356, member: 209781"]
Mali zake zilikuwa na ulakini basi
Ova
Mali yoyote kama ilipatikana kwa dhuluma,magumashi haitokaa kabisa"Walakin mkubwa, hata kuuwawa kwake ilikuwa ni majibu ya dhuluma dhidi ya wenzake, kimsingi walikuwa wanatafutana, jamaa walimuwai tu.
OK Mtamwachia sasa , Huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.
Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi , yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.
Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia , Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.
Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!.
Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.
Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya !!. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.
Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu??.
Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
acha ujinga mkuu msimamizi wa mirathi alishateuliwa mwingine. ukifuatilia ushahidi kwa makini utagundua hauzigel ndio alifanya hayo mauajiUsitegemee Mahakama kutenda haki hapo wakati wanajua aliebaki ndio ana pin namba za mabilioni yaliyopo unategemea nini hapo mbona majibu yapo wazi tuu..
Wewe mwenye akili house girl alikua anagombea nini mpaka afanye mauaji...anaweza kuua mtu mwingine lakini wapo wahusika wa hayo mauaji...acha ujinga mkuu msimamizi wa mirathi alishateuliwa mwingine. ukifuatilia ushahidi kwa makini utagundua hauzigel ndio alifanya hayo mauaji
Kuweni na imani na Mahakama,haki itapatikana tu!!Tusitegemee kupata haki ktk mahakama hizi
Jinga kabisa .ukifuatilia ushahidi kwa makini sana bila mhemkop, hasira,chuki, husda na ukitumia akili yako kidogo tu ya la saba c utagundua hauzigel ndio alifanya hayo mauaji
huyo dada naye kimbelembele tu anagombeaje mali za kaka wakati kaka ana mke na watoto, alitakiwa kutumia ukaribu wake na kaka yake kujiweka fit kiuchumi wakati kaka akiwa hai, ona sasa kachinjwa kama kuku na hakuna alichopata, kaishia kuwaacha watoto wake wadogo bila mama.Wewe mwenye akili house girl alikua anagombea nini mpaka afanye mauaji...anaweza kuua mtu mwingine lakini wapo wahusika wa hayo mauaji...
OK Mtamwachia sasa , Huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.
Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi , yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.
Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia , Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.
Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!.
Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.
Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya !!. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.
Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu??.
Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Ulishawahi kumuona muhindi akiwa ndani ya kituo cha polisi, mahabusu au gerezani? Tuseme hawafanyi makosa kwakuwa tu ni wahindi?Umetumia neno WAUAJI. Sasa tunaomba uthibitisho tumfunge. Kama hauna uthibitisho acha kelele.
Aliyekwambia J4 aliachiliwa nani? Ukiambiwa weka picha yake akiwa mtaani au nyumbani kwake baada ya "kuachiliwa" utaiweka? Acheni kuropokaropoka.OK Mtamwachia sasa, huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.
Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi, yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.
Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia, Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.
Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE.
Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.
Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.
Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu?
Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Wamezika nani?Hii story imekuja muda huu ili hali familia ipo katika majonzi ya msiba, wamezika 04.12.2023