Kwa aina za Mahakama Tanzania sitoshangaa Mke wa Bilionea Msuya akiachiwa huru. Ni nani muuaji wa dada wa Msuya?

Kwa aina za Mahakama Tanzania sitoshangaa Mke wa Bilionea Msuya akiachiwa huru. Ni nani muuaji wa dada wa Msuya?

U

Ulishawahi kumuona muhindi akiwa ndani ya kituo cha polisi, mahabusu au gerezani? Tuseme hawafanyi makosa kwakuwa tu ni wahindi?

Kama hujui basi wahindi ni waoga sana wa mamlaka. Wanajitahidi sana kufuata sheria kwasababu hawapendi kulumbana na vyombo vya dola.
 
Wewe mwenye akili house girl alikua anagombea nini mpaka afanye mauaji...anaweza kuua mtu mwingine lakini wapo wahusika wa hayo mauaji...
Chief kama una uahahidi si uupeleke mahakamani huyo dada ahukumiwe kunyongwa
 
"kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!"

- Umethibitisha ni muuaji? Ni kazi ya Mahakama kuthibitisha, kama haijathibitisha wewe unatakaje?
serikali ndio inaamua hiyo kesi, ujinga mwingine ni bora ukauficha. Unajua maana ya utawala wa sheria. Ndio gharama za ujinga, wakati wenzenu wanasoma wengine sijui mlikuwa mnawaza nini. Wajinga km wewe ni mzigo kwa taifa.
 
acha ujinga mkuu msimamizi wa mirathi alishateuliwa mwingine. ukifuatilia ushahidi kwa makini utagundua hauzigel ndio alifanya hayo mauaji
we ndiolijinga lingine, house girl ammwue kwa maslahi gani, huo ubavu aliutoa wapi. Tumieni akili badala ya makalio kufikiri
 
U

Ulishawahi kumuona muhindi akiwa ndani ya kituo cha polisi, mahabusu au gerezani? Tuseme hawafanyi makosa kwakuwa tu ni wahindi?
Unamjuwa yule tajiri baghdad mbona alinyolewa

Ova
 
Tufikirie hili:-
Aliyemtuma mtu mzima mwenye meno 32 kufanya tukio, na yule aliyetumwa akatekeleza tukio; ni yupi mwenye makosa?
Ndio maana, wengine wanasema akili ya kuambiwa changanya na za kwako.
Inawezekana kabisa, kwa kutumia lugha ya kiufundi (fani), aliyemtuma mtu akawa hayuko hatiani.​
 
Hili sakata la msuya kama movie [emoji1]

Ova
 
Hivi msuya Mali zake alizipataje?
Historia yake enzi akiwa hai ilikuwaje?
Na kwenye biashara alikuwaje???

Ova
Aah aah, migodi mingi aliyo kuwa nayo na yenye utajiri alipewa na mzee wake ,
Ni juzi kabisa Mzee wake kafariki
 
  • Thanks
Reactions: HLM
Back
Top Bottom