Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
HatudanganyikiKuweni na imani na Mahakama,haki itapatikana tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatudanganyikiKuweni na imani na Mahakama,haki itapatikana tu!!
[emoji109][emoji109] big up sanaOK Mtamwachia sasa, huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.
Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi, yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.
Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia, Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.
Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE.
Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.
Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.
Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu?
Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Pia Soma; Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake
Nmeumia sana siku ya Leo[emoji109][emoji109] big up sana
Mkuu ulichosema Leo kimetokea...OK Mtamwachia sasa, huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.
Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi, yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.
Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia, Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.
Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE.
Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.
Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.
Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu?
Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Pia Soma; Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake
DuuhOK Mtamwachia sasa, huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa uhalali wa Jinai.
Ifike Mahali Madhaifu ya Jeshi la Polisi, yasiondoe uhalali wa Jinai ya mtu.
Licha ya J4 kuua na kufungwa Jela , mlimuachia, Sijui yalikua ni madhaifu ya SHERIA zetu au yalifanyika Makubaliano ya wanaundugu.
Kama kweli Makubaliano ya wanaundugu yanatosha kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE.
Serikali ,Mahakama, hazipaswi kua sehem ya mapatanisho katika Suala la Jinai ,wajibu wa Serikali kupitia vyombo vyake vya Dola, wajibu wa Mahakama ni kuhakikisha Haki ya mtu aliye hai au aliyekwisha kua Marehem haipotei.
Katika hali ya kawaida kabisaa, Dada wa Bilionea Msuya huyu aliuawawa, na motive iliyokua nyuma ya mauaji hayo, ni MALI za Bilionea Msuya. Ndio sababu Kifo Cha Bilionea Msuya, kinakuja kusababisha Kifo Cha Dada yake Msuya.
Wauaji mnawaachiaz ila mnafunga watu miaka mitano kisa wamekoswa kulipa Faini ya Laki tatu?
Mhukumuni huyo mwanamke, Kunyongwa Hadi kufa.
Pia Soma; Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake
Mkuu ulichosema Leo kimetokea...