Kwa aina za Mahakama Tanzania sitoshangaa Mke wa Bilionea Msuya akiachiwa huru. Ni nani muuaji wa dada wa Msuya?

Mali zake zilikuwa na ulakini basi

Ova
 
"E="mrangi, post: 48645356, member: 209781"]
Mali zake zilikuwa na ulakini basi

Ova
[/QUOTE]"Walakin mkubwa, hata kuuwawa kwake ilikuwa ni majibu ya dhuluma dhidi ya wenzake, kimsingi walikuwa wanatafutana, jamaa walimuwai tu.
 
"E="mrangi, post: 48645356, member: 209781"]
Mali zake zilikuwa na ulakini basi

Ova
"Walakin mkubwa, hata kuuwawa kwake ilikuwa ni majibu ya dhuluma dhidi ya wenzake, kimsingi walikuwa wanatafutana, jamaa walimuwai tu.[/QUOTE]Mali yoyote kama ilipatikana kwa dhuluma,magumashi haitokaa kabisa
Lazima kutatokea misukosuko

Ova
 
"Walakin mkubwa, hata kuuwawa kwake ilikuwa ni majibu ya dhuluma dhidi ya wenzake, kimsingi walikuwa wanatafutana, jamaa walimuwai tu.
Mali yoyote kama ilipatikana kwa dhuluma,magumashi haitokaa kabisa
Lazima kutatokea misukosuko

Ova
[/QUOTE]Mimi huwa namshangaa huyo dada aliyekuwa anagombea mali za kaka yake wakati kaka alikuwa na mke na watoto, wajomba pia huwa nawashangaa kujiweka mbele kwenye mali za shemeji, makabila mengine hata sijui yakoje tu.
 

"kumuachia Muuaji na Kumfanya awe huru, BASI TUNA SERIKALI YA KIJINGA KUSHINDA UJINGA WENYEWE !!"

- Umethibitisha ni muuaji? Ni kazi ya Mahakama kuthibitisha, kama haijathibitisha wewe unatakaje?
 
Usitegemee Mahakama kutenda haki hapo wakati wanajua aliebaki ndio ana pin namba za mabilioni yaliyopo unategemea nini hapo mbona majibu yapo wazi tuu..
acha ujinga mkuu msimamizi wa mirathi alishateuliwa mwingine. ukifuatilia ushahidi kwa makini utagundua hauzigel ndio alifanya hayo mauaji
 
ukifuatilia ushahidi kwa makini sana bila mhemkop, hasira,chuki, husda na ukitumia akili yako kidogo tu ya la saba c utagundua hauzigel ndio alifanya hayo mauaji
 
Wewe mwenye akili house girl alikua anagombea nini mpaka afanye mauaji...anaweza kuua mtu mwingine lakini wapo wahusika wa hayo mauaji...
huyo dada naye kimbelembele tu anagombeaje mali za kaka wakati kaka ana mke na watoto, alitakiwa kutumia ukaribu wake na kaka yake kujiweka fit kiuchumi wakati kaka akiwa hai, ona sasa kachinjwa kama kuku na hakuna alichopata, kaishia kuwaacha watoto wake wadogo bila mama.
 

Sheria ingekua inaongozwa na hisia na mihemko kama unavyotaka, Haki ingekua jambo la kufikirika tu. Nitakupa mfano mzuri. Kwenye kesi maarufu ya mauaji ya muuza madini, DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTION Versus ABDALLAH ZOMBE & 8 OTHERS (2016) ,Majaji wa mahakama ya rufaa katika kutafuta kumtia hatiani ACP Abdallah Zombe wanaeleza;

“Finally the 1st Respondent (ACP ABDALLAH ZOMBE). There is no evidence, direct or circumstantial, on record to connect him with the charge of murder though there is a strong suspicion hovering over his head.”

Kwenye hii case ilikua wazi kabisa kwamba Abdallah Zombe ndiye alikua master mind wa mauaji ya yule muuza madini lakini hakukua na ushahidi wowote mbele ya mahakama uliomuonesha kuhusika. Hata Majaji walieleza kabisa kuwa kuna namna wanamshuku kuhusika lakini ushahidi ndo hakuna. Hiyo ikawa pona yake. Baada ya kesi kuisha Abdallah Zombe aliacha uaskari akakimbia kabisa Tanzania.

Nataka tu kukutazamisha Mahakama zinaongozwa na sheria na sio hisia wala mihemko. Kama hakuna ushahidi, hakuna hatia.
 
Aliyekwambia J4 aliachiliwa nani? Ukiambiwa weka picha yake akiwa mtaani au nyumbani kwake baada ya "kuachiliwa" utaiweka? Acheni kuropokaropoka.
 
Ipo wazi mbona,uwe na pesa au umaarufu jela watakaa masikini.
Sheria ni biashara za watu,toa pesa vifungu vya sheria vibadilishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…