GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
“Siamini sana Kama ujenzi wa Sanamu ni ishara tosha ya kumkumbuka hayati, Bali ingejengwa shule au taasisi ya kurahisisha Huduma za kijamii ikaitwa jina la anayetaka kukumbukwa na si sanamu “ Professor Sospeter Muhongo.
Chanzo: Tanzania Abroad TV
Kama kuna Profesa ambaye nina uhakika Uprofesa wake ni wa Kustahili kabisa kutokana na Uwezo wake mkubwa wa Akili ( IQ ) hapa Tanzania basi ni 'Poti' wangu wa Kutukuka Sospeter Muhongo.
Profesa kamaliza kila Kitu na GENTAMYCINE siongezi chochote kwani tayari 'Wakosoaji' mbalimbali jana kule Mkoani Morogoro katubatiza Jina na kutuita Watu wa 'Chokochoko' na tusioitakia mema Tanzania yetu huku akisahau kuwa hata Mtangulizi wake nae 'alitudharau' na 'kututisha' hivi hivi ila kaondoka na 'Team Chokochoko' bado tunaendelea Kudunda tu na hata Corona nayo inatuogopa vile vile Kudadadeki.