Mwendazake tumesha mjengea kaburi lake .
Katutia hasara sana kama nchi ndani ya muda mfupi aliohudumu kama
Kiranja Mkuu.
Ameua BIASHARA, sekta BINAFSI iliathirika sana, shughuli zote za kufanya WATU BINAFSI aliwapa SUMA JKT, Hadi tenda za kusafisha barabara.
SUMA JKT wana hadi boti za uvuvi ili tu kuua nguvu wafanyabiashara.
Alinunua mindege mingi isiyo na faida.
Alijenga ukuta kwa gharama kubwa na hauna faida yoyote, WATU wanabeba mawe vilevile.
Kila kitu alitaka kipelekwe kwao kwa gharama za serikali.
Tenda zote za kujenga vivuko aliipa kampuni yake.
Hee! Yako mengi Sana aiseee