Kwa akili hii ya Prof. Sospeter Muhongo, nadhani yeye sasa ndiyo wa kujengewa sanamu upesi sana

Hakika Mara bado ina vichwa vinavyotoa madini. Yaani mtu unatoa wazo la kutumia milioni 420 kutengeneza DUBWASHA lenye sura ya mtu badala ya kutengeeza kitu kitakachoacha kumbukumbu na manufaa kwa jamii?
Mara ndiyo Mkoa wenye 'Geniuses' TZA.
 
Na unga hoja ya Prof.
 
Ukimtukana mwana Mkoa wa Mara ( Musoma ) Mwenzangu jua umetutukana wana Mara ( Musoma ) kwani huo 'Ujiniasi' wake Profesa Muhongo ndiyo upo Kwetu wana Mara ( Musoma ) wote. Kuwa makini sana na hujachelewa kutuomba Radhi Mimi GENTAMYCINE nikiwa Mwakilishi wao wa Kutukuka hapa JamiiForums sawa?
 
Profesa atulize akili asipaniki, JPM atafanyiwa mengi ya kumkumbuka kama yeye mwenyewe alivyofanya mengi makubwa ya kukumbukwa

Sanamu itajengwa na Taasisi zinakuja na mengine mengi yatafanyika. Tukae kwa utulivu
Rais Samia akilikubali hili nitaanza Kumpunguzia 'Maksi' zangu juu yake.
 
Tafadhali wahi Mirembe ukapimwe Akili Mkuu.
 
Tena tumjengee sanamu kubwa , prof.muhongo kila mkoa.
 
Alisomea wapi udalali wa resources za Tanzania? Yes ana IQ kubwa baada ya kurudia shule mara kadhaa. Ila anadharau sana watanzania. Yeye anataka kila kitu wapewe watu wa nje.
Atajengewa mnara kwao labda
Aliyekuambia kurudia Shule ndiyo kutokuwa na Akili nani? Rais Mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki ( RIP ) alifeli vibaya sana Kidato cha Nne huko Kenya ila baadae alivyoenda Kusoma Makerere Uganda aliweka Rekodi ya kupata 'Triple A' katika Somo la Hisabati ( Hesabu ) ambayo hadi hivi leo haijavunjwa je, nae tuseme hakuwa na Akili?

You have a very poor thinking capacity.
 
I fully concur with the Professor view.
 
I fully concur with the Professor view.
Hapo uliposema Proffesor rekebisha upesi iwe Professor's view na siyo hiyo yako ya Professor view tafadhali.
 

Unawaongelea wakina Nani. JPM ndo mwamba. Ajengewe asijengewe haipunguzi umwamba Wake. Yeye angekuwepo asingekubali na hiyo hela ingeenda either kwenye hospital au shule au barabara. That’s my JPM. Mtaandika sana kujifariji Lakini JPM alituonyesha maisha halisi ya Mtanzania anayeishi kwa kulipa Kodi.

Sasa tuna Mama. Mwendo Ni mbele kwa mbele kwa style yake. Adumu mama yetu SSH. It’s her time to lead us, to show us the way to.. and bring us the promise Land. It is always a process within a process. One day yes.

Wewe fanya Kazi yako halali, mwisho wa siku Hakuna Rais atakayekuwekea hela mfukoni. Yeye sio katibu tawi wala Balozi wa nyumba kumi ambaye unaweza kumjudge kirahisi rahisi namna hiyo. Kila Mtanzania kwa nafasi yake anajenga nchi. Na kwa mantiki hiyo hiyo, kila Mtanzania atawajibika kwa eneo lake, Lakini mwisho wa siku wote tunawajibika kwa pamoja katika process yote. Tusaidiane.

Mwisho yangu msema chochote, wewe umejifanyia Nini na umefanya nini kwa familia yako. And then umefanya Nini kwa Taifa lako la Somalia. Mana hatunaga watu wenye lugha za Hivi kwa marehemu asiyeweza hata kujibu. Toa ….. jichoni mwako kabla ya …. Jichoni kwa mwenzako. Are you that clean?
 
Povu la uhakika. Je, Wewe ni ME au KE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…