Kwa akili hii ya Prof. Sospeter Muhongo, nadhani yeye sasa ndiyo wa kujengewa sanamu upesi sana

Bora hata Mkono amefanya kazi inayoonekana. Huyu mtu amefanya nini cha maana zaidi ya kuwauliza wenzake kama wanajua hesabu?
 
Hakika Mara bado ina vichwa vinavyotoa madini. Yaani mtu unatoa wazo la kutumia milioni 420 kutengeneza DUBWASHA lenye sura ya mtu badala ya kutengeeza kitu kitakachoacha kumbukumbu na manufaa kwa jamii?
Ambalo halina hata faida yoyote.
 
Bora hata Mkono amefanya kazi inayoonekana. Huyu mtu amefanya nini cha maana zaidi ya kuwauliza wenzake kama wanajua hesabu?
Acha Uwongo na Chuki zako Kubwa kwa Profesa Muhongo sawa? Bahati nzuri Yeye ni Mbunge wa Musoma Vijijini na Mzee wangu Mkono alikuwa wa Kwetu Butiama ila kwa sasa Profesa Muhongo amefanya Maendeleo makubwa mno huko Jimboni Kwake ambayo Mnafiki na Hasidi Wewe huyajui na hujayaona pia.
 
Simchukii wala sisemi uongo. Akili zake zinawafaa watu wa jimbo lake. Na wanafunzi wake. Sisi kwenye public anaona tunafaa kufuga kuku tu anatusaidia nini?
Ukiona anapambania jambo ujue amekuwa dalali. Kuna wanaomtuma.
Nakubaliana naye hatuhitaji sanamu. Ila yeye pia hatuhitaji kama mnataka sanamu mjenge huko huko jimboni
 
Mama anapiga pasi za kijerumani
 
Jikite kwenye hoja ewe mjane
 
Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuu, Mwendazake Zurumati ndio Ulimwona Mungu wako. Ikijengwa Hiyo Sanamu Itapigwa Mawe na Viboko Kama Vyote, Hadi Basi.
 
Profesa atulize akili asipaniki, JPM atafanyiwa mengi ya kumkumbuka kama yeye mwenyewe alivyofanya mengi makubwa ya kukumbukwa

Sanamu itajengwa na Taasisi zinakuja na mengine mengi yatafanyika. Tukae kwa utulivu
Kwa hiyo ni bora watu wafe ili sanamu lijengwe kuliko pangejengwa kwanza kituo cha afya chenye jina lake then sanamu likajengwa baadae? Kumjengea jizi sanamu ni sanamu nyingine tena
 
Wapumbavu kama wewe mtafutika tu taratiibu
 
Genta..hawa watu hurejesha akili zao wakishakosa au kunyimwa madaraka...namkumbuka Muhongo yule waziri alikuwa arrongant na mawazo kama ya Kabudi tu...naona sasa akili zimerudi...ni kama zilivyorudi za jaji Werema!
 
Kwa hiyo ni bora watu wafe ili sanamu lijengwe kuliko pangejengwa kwanza kituo cha afya chenye jina lake then sanamu likajengwa baadae? Kumjengea jizi sanamu ni sanamu nyingine tena
futa O andika zilo πŸ˜›
 
Mkuu, Umepata posho ya matusi hayo mkuu? πŸ˜›
Mbona wewe Unamchukia Poti Prof. Kwani aliiba Nini Kama sio Siasa Chafu tu Walizitunga na Kumlisha Mwendazake naye akamtemesha Mzigo bila facts. Ile ni kichwa toka Musoma, take care, siyo kusupport support bila mantiki??
 
Kwa hiyo ni bora watu wafe ili sanamu lijengwe kuliko pangejengwa kwanza kituo cha afya chenye jina lake then sanamu likajengwa baadae? Kumjengea jizi sanamu ni sanamu nyingine tena

MKANDAHARI buanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kwani umeambiwa hivyo vituo vya afya havijaanza kujengwa?
Vyote vinavyowezekana vitafanya. Vumilia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…