Kwa akili hii ya Prof. Sospeter Muhongo, nadhani yeye sasa ndiyo wa kujengewa sanamu upesi sana

Wajinga wakiwa wengi halafu wakaungana..
Mwenye akili lazima unyamaze..
Yaani mtu anatetea sanamu?Kabisa?
Upungufu wa akili ni mkubwa sana
Kwani hiyo sanamu itajengwa wapi? Natumaini haitakuwa hapo Sabasaba kwa sababu tayari vinajulikana kama viwanja vya Nyerere. Logically, sanamu itakayofaa hapo (kama upo huo ilazima na tija) ni ya kiongozi ambaye jina lake linabeba viwanja hivyo. Hivyo basi sanamu ya marehemu Rais Magufuli itaweza kupelekwa kwingineko. Huu ni ushauri tu mdogo.
 
Kwa hili nakubaliana na prof Muhongo.
 
Namkubali mno Profesa 'Poti' Muhongo.
Nikushari tu huyo poti ni kweli ana uwezo akili za shule bahati mbaya sana alinyimwa akili muhimu pamoja na akili ya uongozi hana. Uliza watu wakupe historia ya huyo poti wako hasa ma lecture wenzie pale UDSM. Huyu anasaka fursa sasa hivi na wakikosea kumrudisha wameuwa wizara.
 
Kwani uyo professa yuko wapi sikuizi
 
Kwani uyo professa yuko wapi sikuizi
Ni Mbunge wa Musoma Vijijini, Oil and Gas Consultant, Competent African Geologist, Enteprenuer na Mtu Tajiri kuliko Umasikini wako na wangu uliotutukuka.
 
Ila GENTAMYCINE bhana, posts zako zinahitaji mtu makini kukuelewa ila zingine lazima utabasamu kwa maneno kuntu yaliyomo. Pamoja sana mkuu...
🤣🤣🤣
 
Ni Mbunge wa Musoma Vijijini, Oil and Gas Consultant, Competent African Geologist, Enteprenuer na Mtu Tajiri kuliko Umasikini wako na wangu uliotutukuka.
Mbona hata bungeni simuoni sikuizi? Ni mbunge kweli huyo au kaamua aendelee na mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…