Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!