Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wasiweze??Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Kwa taarifa yakoHuku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Daah nimejipotezea time kwenye thread hiiHuku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Mkuu Kamanda Asiyechoka , ushamba wa kupitiliza pia ni shida!. Kwa bandiko hili, unaonyesha wazi kabisa hata wewe hujawahi kufika Coco Beach!.Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Kwa sababu huijui Dar, baki na mawazo yako! Coco beach ni copa cabana ya TZ....Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Mkuu Kamanda Asiyechoka , ushamba wa kupitiliza pia ni shida!. Kwa bandiko hili, unaonyesha wazi kabisa hata wewe hujawahi kufika Coco Beach!.
Kwanza Coco Beach sio eneo la biashara ya bidhaa, ni eneo la recreational, hivyo kila eneo linapaswa kuwa na recreational park yake, watu wa Temeke waende Mtoni Kijichiji, watu wa Mbagala waende Kigamboni. Wa Tandale waende uwanja wa Fisi, Wa Buguruni kwao ni pale kwa Mnyamani au Sewa Store. Watu wa Uswazi starehe zao za Kiswazi na maeneo yao ya Uzwazi na watu wa Kishure starehe zao za Kishure na maeneo yao ya Kishure kama Mlimani City, Coco Beach na vitu kama hivyo.
Maeneo yote ya Kishure pia kuna watu wa levels za Uswazi, wote unaowaona wenye hivyo vibanda hapo Coco Beach, hakuna yeyote anayeishi Osyter Bay au Masaki, wote wanatoka Uswazi. Na maeneo ya Uswazi kama Magomeni, Manzese, Buguruni, Temeke nako pia kuna Washua ambao wanakwenda Mlimani City na Coco Beach.
Kuna washure kibao wa Mikocheni, Oyster Bay, Mbezi Beach na Masaki, wamekufa wameoza kwa kuku wa kienyeji wa Temeke na Mbagala, hivyo watu wa maeneo yoyote wako huru kwenda maeneo mengine yoyote.
Ndio maana eneo la Kariakoo watu wanatoka sehemu mbalimbali, hadi mikoani, na zamani hadi nje ya nchi kufuata bidhaa Kariakoo. Hivyo mtu chake atakacho atakifata popote ili mradi akipate. Ili kupunguza watu wasijazane Kariakoo, kuna watu wamefungua maduka Sinza Madukani, Kinondoni Mkwajuni, ile Kona ya Mwananyamala na Tegeta, na wameweka kila kitu cha Kariakoo na hadi kubandika matangazo makubwa "USIENDE KARIAKOO"
na bado watu wanaenda Kariakoo.
Vivyo hivyo watoto wa Uswazi wako huru kwenda kustarehe sehemu za Kishure kama Coco Beach, alimradi wawe na uwezo huo wa kiuchumi. Barabara ya Coco Beach hakuna usafiri wa Dala Dala ni lazima uwe na ndinga!, kila Jumamosi na Jumapili watoto kibao wa Uswazi kwa kutumia zile ndinga zao za TZ 11, wanatinga Coco Beach kama kawa.
Na kwa faida ya wasiowajua wafanyabiasha wa Coco Beach, hawa ni baadhi yao, wasikilize.
Kwani lazima wakanunue vitu Coco beach? Serikali haipo kufurahisha watu, mipango miji iheshimiwe.Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961

Ukiwasikiliza kwa makini watu hao, utakubaliana na mimi kiukweli kabisa iliyeshinda pande hizi alishinda kihalali!. Kazi ilifanyika!. Wananchi wote kutoka maeneo yote, na wenye hali zote, wenye nacho na hata wasionacho, karibuni sana mtembelee Coco Beach, hakuna kiingilio ni bure!.
P
Waswahili mkijazana huko wahindi watasusa, wataanzisha sehemu nyingine.Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Kulikoni mwanaccm kuikosoa ccmHuku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango mijiView attachment 1998961
Wahindi tuwaachie masupermaketWaswahili mkijazana huko wahindi watasusa, wataanzisha sehemu nyingine.
Humu JF tuna baadhi ya watu ni viazi sana!. Mwanzo nimekuuliza wewe umewahi kufika Coco Beach?. Ukisikia tuu vibanda vya machinga, akili yako ilivyo fupi, ukadhani ni vibanda vya bidhaa!. Mmachinga na mbangaizaji aende Coco Beach kufuata nini?!.Acha pumba zako we jamaa. Hoja hapa ni accessibility to market. Most ya wateja wa machinga wakibangaiza jioni ndio wanapitia bidhaa. Sasa huko Coco beach ndio kutakuwa na soko?
Wabangaizaji wengi wanakaa uswazi na jioni ndio mida ya kununua vitu. Acha porojo. Nani atamaliza shughuli zake kisha aende Coco beach?
Humu JF tuna baadhi ya watu ni viazi sana!. Mwanzo nimekuuliza wewe umewahi kufika Coco Beach?. Ukisikia tuu vibanda vya machinga, akili yako ilivyo fupi, ukadhani ni vibanda vya bidhaa!. Mmachinga na mbangaizaji aende Coco Beach kufuata nini?!.
Kule nimekuwekea hadi video za biashara inayofanyika Coco Beach, lakini bado unang'ang'ana!.
Hao wabangaizaji wengi wanaokaa uswazi na jioni ndio mida ya kununua vitu baada ya shughuli zake ndio kisha aende Coco beach?!. Aende Coco Beach kununua nini?!. Unadhani Coco Beach ni soko la kununua bidhaa?. Vitu vingine uliza!.
Haya sasa nakusaidia tena kwa mara ya pili, Wasikilize machinga wa Coco Beach utajua ni vibanda vya nini!.
Na kama bandle ni issue huwezi kufungua video, pia utasaidiwa!.
P