mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Vipi kalynda mkuu imekuacha salamaHujamuelewa. Apo yani aliweka 100k kapata faida ya 70k na hela yake ipo pale pale. Jiunge acha kusema kila kitu ni wizi wakat mwanamke unamhonga pesa nyingi bila kufikiria.