Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

Baada ya kukutana na met Wangu akiwa anamuelekeza mtu Kujiunga nikajua kumbe ipo na kuona account yake karecharge laki kavuna elf 70 na point nimehamasika Leo naanza na 50 true freedom comes from individuals sacrifice
Sawa sawa!!
 
Wameshaliwa
 
Nilijiunga baada ya kuona masela wawili wametoa pesa, mmoja alianza na laki 1 baada ya wiki 3 akatoa ishafika 220,000 ila pesa inachelewa kufika ni ndani ya masaa 48 afu wanamakato makubwa wakati wa kutoa.

Mimi nilianza na 20K, kesho nafikisha 40K.
Ongera sana mkuu
 
Baada ya kukutana na met Wangu akiwa anamuelekeza mtu Kujiunga nikajua kumbe ipo na kuona account yake karecharge laki kavuna elf 70 na point nimehamasika Leo naanza na 50 true freedom comes from individuals sacrifice
Yalaaa , pole mkuu
 
Kinachonishangaza BOT wapo watu wengi wakiingia mkenge ndio wanazinduka pana muda nadhani wapo wanaohusika kwenye hii mipigo maana hizo riba zinazidi riba zote ila wazee wa Tozo wapo kimya..
Nadhani waTanzania tuna lawama nyingi zisizo za msingi. Serkali au vyombo vyako havipo kwa ajili ya kuingilia maamuzi ya kila mtu. Wewe una akili zako tena timamu, unawekeza laki moja na unapata elfu sabini kabla ya mwaka. Hii sabini ingekuwa kwa mwaka hiyo ingekuwa inerest ya 70% kwa mwaka. Hiyo inetrest haipo duniani. Kwa nini usitambue kuwa hizo pesa ulizopata ni chambo tu. Ukisha lainika na kupata uroho wa kupata pesa ambayo hukuifaniya kazi , wenzako wanatayarisha pigo kubwa.

Interest hizo kwa kifupi hazipo. Hivi unataka serkali ifanye nini? Ulipoenda kuwekeza ulipata ushauri toka serkali? Je, uliijulisha BOT unayotaka ikusaidie? Je, ulienda kwenye chombo chochote kuhusu uhalisia wa waliokupiga? Ulipoingia uliingia kimya kimya na ukaonjeshwa kafaida ili uweze kukusanya watu. Hivi vyote ulifanya kwa siri buila serkali kujuwa na sasa unataka ikusaidie.

Kuna watu wanasema eti wahusika wamesajiliwa. Ukweli ni kuwa BRELA haiwezi kukataa kusaili biashara kama wametimiza masharti. Lakini baada ya kusajiliwa, kazi ya BRELA imeisha. Sasa wanabaki na biashara yao na wanavyoiendesha na kuhakikisha wanalipa kodi. Hawa walisajili biashara ya kuuza bidhaa kimtandao. Je mliyotapeliwa mliwaomba kuonyeshwa wameidhinishwa kufanya bioashara gani? Labda mungefanya hivyo mngeona wanafanya kitu tofauti na walichosajiliwa kufanya. Kila mtu anatakiwa kujuwa kuwa hakuna biashara ya pesa inalipa interest ya 70%, 50%, n.k. Nilishaandika humu kama unataka interest nzuri nunu BOT bonds au weka fixed savings account, lakini hata hizo hazitoi interest kubwa kama hizi mnazodanganywa nazo.
 
Mkuu mambo ya fedha huyajui kaa kimya tuu...Elimu zenu za hovyo sana nasikitika msomi kuandika vitu kama hivi yaani hujui kazi za vyombo vya Fedha harafu unakuja kunielekeza hapa...Nchi gani za SADC utaona huu ujinga unaofanyika hapa nenda Zambia,Botswana au SA ufanye kama Kalyinda kama hamjapotea hiyo ni kesi ya fraud tena haina dhamana ni kama robbery tuu nasikitika sana unanieleza wakati wewe ndio natakiwa nikufundishe...
 
Baada ya kukutana na met Wangu akiwa anamuelekeza mtu Kujiunga nikajua kumbe ipo na kuona account yake karecharge laki kavuna elf 70 na point nimehamasika Leo naanza na 50 true freedom comes from individuals sacrifice
Wafwaaa!!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu mambo ya fedha huyajui kaa kimya tuu...Elimu zenu za hovyo sana nasikitika msomi kuandika vitu kama hivi yaani hujui kazi za vyombo vya Fedha harafu unakuja kunielekeza hapa...Nchi gani za SADC utaona huu ujinga unaofanyika hapa nenda Zambia,Botswana au SA ufanye kama Kalyinda kama hamjapotea hiyo ni kesi ya fraud tena haina dhamana ni kama robbery tuu nasikitika sana unanieleza wakati wewe ndio natakiwa nikufundishe...
Nakubali ni fraud na fraud zinatokea dunia nzima. Fraud inayofanywa na watu toka nchi za nje ni vigumu kuwakata na kuwapeleka mbele ya sheria. Hii habari ya kuwa vitu kama hivi havitokei nchi zingine ni uongo wa mchana. Hivi unajuwa ni watu wangapi wanalizwa USA na utapeli aina mbalimbali! USA, Uingereza, Germany, France, na kwingineko watu wanapigwa mabilioni. Labda tungeishauri seerkali itoe elimu kuhusu mbinu mbalimbali za utapeli, ili wananchi waweze kutambua utapeli unakujaje. Lakini kama kawaida yetu, ushauri kama utapingwa na maneno "hawataki tupate, waongo hao, etc.
 
Hawawezi kujitangaza wakiiba miezi yote hiyo USA unasimuliwa mimi nashinda huko kule ukikwepa kodi tuu mzee unapigwa PR kama jambazi yupo Mnigeria alikua anaibia watu mitandaoni sio ya hivi watu wanakua na kundi la whatsAap na kuiba na wanatangaza sijui ofisi imefungwa huko USA mbali nenda Botswana au SA kaanzishe Scheme pale uone kitakochokutokea watu wanaiba ila wakiiba wasikamatwe wakikamatwa ni mbaya sana...pana Nchi ukisahau address yako tuu hauchenji usd unazungumzia kuiba pesa mtandaoni..
 
Nakubali ni fraud na fraud zinatokea dunia nzima. Fraud inayofanywa na watu toka nchi za nje ni vigumu kuwakata na kuwapeleka mbele ya sheria. Hii habari ya kuwa vitu kama hivi havitokei nchi zingine ni uongo wa mchana. Hivi unajuwa ni watu wangapi wanalizwa USA na utapeli aina mbalimbali! USA, Uingereza, Germany, France, na kwingineko watu wanapigwa mabilioni. Labda tungeishauri seerkali itoe elimu kuhusu mbinu mbalimbali za utapeli, ili wananchi waweze kutambua utapeli unakujaje. Lakini kama kawaida yetu, ushauri kama utapingwa na maneno "hawataki tupate, waongo hao, etc.
Na kumbuka mwamba mmoja Huko USA, aliitwa Robert Maddock, aliwaliza watu Huko siyo kitoto, hata siku alipohukumiwa wajinga wakawa wanashangilia, yeye akacheka tu na kuwa ambia shangwe zao hazitawasaidia chochote, akazama zake jela huku account zake zikicheka.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nakubali ni fraud na fraud zinatokea dunia nzima. Fraud inayofanywa na watu toka nchi za nje ni vigumu kuwakata na kuwapeleka mbele ya sheria. Hii habari ya kuwa vitu kama hivi havitokei nchi zingine ni uongo wa mchana. Hivi unajuwa ni watu wangapi wanalizwa USA na utapeli aina mbalimbali! USA, Uingereza, Germany, France, na kwingineko watu wanapigwa mabilioni. Labda tungeishauri seerkali itoe elimu kuhusu mbinu mbalimbali za utapeli, ili wananchi waweze kutambua utapeli unakujaje. Lakini kama kawaida yetu, ushauri kama utapingwa na maneno "hawataki tupate, waongo hao, etc.
Usa huwezi kuiba kwa kufungua ofisi vile na ukakimbia mkuu mbona upo nyuma sana..yule Mnigeria mwizi wa mtandaoni hukumu yake ndio inasubiriwa alikamatwa na FBI na CIA walimwambia akieleza jinsi anavyoiba watampunguzia kifungo na ameiba kweli...hakuna wezi wa mtandaoni USA wakawa na kundi la WhatsAap kama wanavyofanya Tanzania huko USA mbali SA pana wezi wa aina zote ila hiyo fraud wakiifanya wanafanya kwa akili sana sio kama hao Kalyinda na picha zao zipo mtandaoni wanaachwa tuu..
 
Back
Top Bottom