inanikumbusha dada mmoja apikuwa na mbabu wake siku moja mitaa ya sea cliff, huyo dada alishawahi kuwa na boyfriend wa kingoni sasa bana waiter wa kiume akawalete vinywaji jinsi yule mkaka alivyokuwa kwa mujibu wa huyo sistery ni km vile boyfriend wake huyo wa zamani aliyeporwa na rafiki yake. demu bana mwili ukamsisimka alipoondoka yule waiter dada si akaropoka bila kujua anamwambia babu yake aka buzi lake eti dah yule kaka handsome km mngoni! wamemtoa wapi waiter sharp nanma ile daaah babu machale yakamcheza mood ikabadirika ghafla babu akanuna 2hrs baadaye wakaondoka kurudi town jpili hiyo jioni km kumi na mbili wakawa pale kwenye mataa ya faya kutokea muhimbili demu akashtukia kibao kinatua shavuni cha nguvu bwaaaa jamaa linatia wewe malaya siku hizi unat... na wangoni eeenh! ndo maana unakatika sana siku hizi wameshakufundisha uhuni eeenh demu mwenyewe akili fyatu akafungua mlango akashuka mbio kukwea daladala.basi jtatu kaja job shavu limeumuuuuuka ananiambia mngoni sitaki kukuona unaona maumivu haya yooote sababu yenu wangoni,miee nijova eee pivina eeeeenh