Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Ngoja aamke aje asome tena. Ni vizuri kuweka akiba ya manenoKakimbia Tayari
Kajiunga na wenzake kina Renzo kukimbia nyuzi zao wenyewe!! Tutawafuata huko waliko hata kama ni kwenye "Siasa"!!Kakimbia Tayari
Mungu ana maslahi gani kwenye mpira mpaka aisaidie timu kushinda?Watu wasiomwamini Mungu utawajua tu!! Ni aibu kubwa kushiqndwa kumwamini Mungu. Unaposema hata Mungu hawezi kuwasaidia una maana hata Mungu akitaka kuwasaidia hawezi au? Ulishawahi kusikia mpambano wa Daudi na Goliati? Au Wana wa Israel walivyovuka bahari ya Shamu kwa miguu!! Dharau vyote lakini siyo Mungu!! Watu wengine hujiletea laana bila kujua! Anayeshikilia uhai wako unamkejeli kiasi hicho!! Pole!saiadiwa na Mungu
We ni noma umeupima hadi uwezo wa mungu ukajua ni wa kiasi gani? Hatari sana.Kwamza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)
Wana msimbazi tunafanyaje?
Ndio maana nikamwambia ameanza ushabiki jana. Utopolo wanahangaika sana na mambo ya Simba.hawa wanaitwa utopolo wanasahau Zamalek akiwa bingwa wa afrika alitolewa na Simba
Kwa kweli tuwafuate tuuu pumbavu zao hawa.Kajiunga na wenzake kina Renzo kukimbia nyuzi zao wenyewe!! Tutawafuata huko waliko hata kama ni kwenye "Siasa"!!
Kwa hiyo Ahly wao hawana mungu? Au miungu itatofautiana? Huy ataisaidia simba na huyu Ahly? Kama ni mmoja atasaidia timu gani?Wewe Umejuaje kama Mungu hatoweza kuisaidia Simba. je uliongea naye je ulishawahi kufanya sala kuiombea Simba halafu ukajibiwa kwamba ah kwa timu ile siwezi? acha unafiki Simba anaweza kuongoza kundi ujue Mungu hayupo upande Mmoja mkikaa vibaya mtayuokotea fainali nawaambieni tena mkikaa vibaya mtatuokotea fainali
Wewe hujui wengine wanamwomba Mungu riziki kupitia mpira wewe vipiMungu ana maslahi gani kwenye mpira mpaka aisaidie timu kushinda?
Mungu aache kudili na ufalme wake aje azisaidie timu za mipira? Kweli?? Atasaidia timu gani sasa? Naomba jibu
Hoja sio kufungwa hoja ni mpira unatoa riziki halali ambayo mtu anaweza kumwomba Mungu na akapewa au mpira ni haramu.Timu itayofungwa inakosa mshahara ama?