Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

Levels matter. Sawa.
Al Mereikh mchawi wao tunaye. If you know what I mean
 
Kwa simba inawezekana wakashinda shida ni pale wanapomchanganya Mungu na mapaka hapo lazima walambwe na mwarabu na siku hiyo Manara atawageuka simba na kujiunga na waarabu wenzake
 
Usisahau kuwa hayo ni maneno yako! Waarabu wako vipi?
 
Ulimchokoza Mungu amekufanyizia , bwege wewe
 
Kidimbwi upooooo?????
 
Nyie si mnategemea nyau?
 
Levels matter
Vipi huna utabiri wa sudan?
 
Hakuna timu toka Egypt iliyoshinda Tz inapokuja kucheza na Simba zaidi na mara moja walitoka Sare tena mechi ya marudio ya siku ya pili baada ya mvua siku ya Kwanza kuvunja pambano

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…