Ha ha ha ha haManeno na nyuzi nyiingi za kuiombea mabaya Simba ndo kinawafanya Uto mnafanya vitu vya kipuuzi.
"Mnakusanya wanahabari kwenda kuwaonyesha mabinti wanavyoogelea".
Uongozi wa Mirembe ukowapi unaacha machizi wanajazana pale Jangwani kwanini lakini?
Huyu jamaa alieleta huu uzi msikae nae mbali anaweza kujizuru kwa kujiona hana akili kwa sababu kila alichokitabiri kimekuja tofauti tumpe msaada ni mtanzania mwenzenu jaman hata kama ni UTO!!!!Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)
Wana msimbazi tunafanyaje?
Wewe ni utopolo damu damu na unatoa harufu ya utopolo!! Baada ya tarehe 23/02/2021 unapumulia kwenye mashine!!Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)
Wana msimbazi tunafanyaje?
rudia tena maneno yakoAl ahly hili kundi ataongoza na mmojawapo kati ya as vita au el mereikh.
Simba haijazoea mpira wa kasi na pressing ambao waarabu ndio wanauweza