Tuzo gani? Alikiba kabeba tuzo mbele ya Wizkid, muwe mnafuatilia angalau hata kidogoTatizo hana tuzo
Wizkid kabeba tuzo nyuma ya Ali Kiba , msiqe mnafuatilia angalau hata sanaTuzo gani? Alikiba kabeba tuzo mbele ya Wizkid, muwe mnafuatilia angalau hata kidogo
Kafanya show ngapi nje ya nchi??Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani
The guy was G.O.A.TView attachment 1966682
When music was music, sidhani kama kutakuwaga na album kama hizi za bongo flavor. Sahivi wote chenga tu
Daah ni nomaView attachment 1966682
When music was music, sidhani kama kutakuwaga na album kama hizi za bongo flavor. Sahivi wote chenga tu