Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

Tusio na audiomack tucoment wapi
 
Huyu jamaa ni konyo aisee hii album ni [emoji91][emoji91]
Ukisikiliza ngoma kama sitaki tena unapata ile vibe ya bongo fleva ya zamanii
 
Nikisikiliza ngoma za Naija hua naona wasanii wa bongo wanalazimisha sana kuskiliza muziki wao usikilizwe kwa lazima
 
Mm binafsi sijaona wimbo ulionipa vibe, frankly speaking.
 
Hakuna king apo tumepigwa album kawaida tu ila mixing and mastering iko poa
 
Nimesikiliza single kadhaa kutoka kwenye album mpya ya Ali kiba. Kwa kweli kafanya vizuri. Nyimbo yangu Bora kwa kweli ni "utu". Ongeza yako Bora tuone.
Yakwangu mimi ni SITAKI TENA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…