Nahisi hawako humu! And sometimes they will never put it open!Nashukuru Mungu mpka huu uzi umefikia hapa, sijaona mtu aliyedhibitisha kuwa ametembea na sister....
ee Bwana watazame watumishi wako, maana mavuno ni mengi na watendaji ni wachache..
ndio maana hukuona sabbu ya kuachia malaika Kanisa, ukaona uwachie Binadamu, ili utukufu wako uijdhihilishe, ile hali ukijua kuwa sisi ni wakuangika dhambini
Yaani nikadate sister ??Wewe unaishi zama gani watu wanakupa mbinu za kuwala wewe unasema no one,usiwe Tomaso.
Mimi kanipenda sasa nisipomshughulikia ataliwa Na boya Fulani,hizi zari haziji mara2Yaani nikadate sister ??
Yaani nimekosa nini hadi nifuate hao wateule..
Kila mtu ana choice mkuu! Town wako watoto wakali tuu na misabwanda ya haja...
Kula tunda kwa kujificha siko!
Errh ! Go to hell...Mimi kanipenda sasa nisipomshughulikia ataliwa Na boya Fulani,hizi zari haziji mara2
Badilisha topicWewe tuambie
Yes! Nenda kuzimu tuuGo to jehanamu!