bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,402
- 1,291
Nashukuru Mungu mpka huu uzi umefikia hapa, sijaona mtu aliyedhibitisha kuwa ametembea na sister....
ee Bwana watazame watumishi wako, maana mavuno ni mengi na watendaji ni wachache..
ndio maana hukuona sabbu ya kuachia malaika Kanisa, ukaona uwachie Binadamu, ili utukufu wako uijdhihilishe, ile hali ukijua kuwa sisi ni wakuangika dhambini